From left to right: Sam Nujoma, Samora Machel with Kenneth Kaunda and Mugabe
1980: African Head of states at a conference in Lusaka, Zambia. From left to right: Sam Nujoma, Kenneth Kaunda, Samora Machel, Julius NyerereRobert Mugabe, José E. dos Santos
Haswaaa,
Ndo maana wanabaki wakiwa wanatoa mapovu mdomoni badala yakusoma historia/kuomba wazee wazamani wawape stori za wakombozi wa AFRICA ili waweze tambua wapi wametoka na wapi wanapaswa kwenda.
Nimehangaika weee mwisho ndiyo nimemkumbuka. Hata Dar tuna barabara ya jina lake na sisi tumemsahau. Huyu Mzee mwenye madevu wa kwanza kushoto ndiyo SAM NUJOMA mwenyewe aliyekuwa Rais wa Namibia.