SAMMATA apewa mkono WA kwaheri

Kwa sasa aende uarabuni kumalizia soka, kisha asomee ukocha na mwisho arejee Tanzania kufundisha. Miaka mitano ajayo tumuone akiwa kocha wa timu kubwa hapa Tanzania.
Ajifunze kwa akina Juma Mgunda, Zakaria Kinanda, Abdallah Kibadeni, na sasa kwa Juma Kaseja, Selemani Matola, Mexime nk.

Hayo madini nampa, akafanyie kazi.
 
Kimsingi kama nchi inatakiwa imeundeleze huyu awe kocha wa timu ya Taifa.
 
Samatha anasimamia Academy ambayo inapatikana South Africa na muda mwingi wa likizo huwa anakuwa SA.

Kwahiyo the guy is very genius usitegemee kuja kuwa Kama hao akina kaseja n.k

Akimaliza Maisha ya Mpira ataendeleza Maisha katika sehemu zinaoeleweka na sio kirudi nyuma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…