Kwamba atakufa? Au unataka kusikia amekufa? Unashangilia /unameombea mtu kufa? (Unashangaza) huyo anko mbn saivi mnampenda baada ya kupotea kwenye uso wa dunia na mnatamani angekuwepo?
Chawa hawana uwezo hata wa mambo madogo tu. Hapa utafikiri umemuuliza swali la Quantum Mechanics. Huwa hawajui cho chote except blind loyalty to their handlers 🚮