GE2025 Samia yupo wapi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Anko alikuwa bora kuliko huyo kilaza, yeye ni nani isitokee?
Kwamba atakufa? Au unataka kusikia amekufa? Unashangilia /unameombea mtu kufa? (Unashangaza) huyo anko mbn saivi mnampenda baada ya kupotea kwenye uso wa dunia na mnatamani angekuwepo?
 
Na yeye ni binadamu tena over 60 na morbidly obese. Kitatokea tu. Ni suala la muda tu kwetu wanadamu...

View attachment 3484462
Atanunua mashine ya kuchimbia makaburi ya kuwazikia wakosoaji wote wa mama yake bila shaka! Naiwazia hiyo Kizimkazi si yote itajaa makaburi tu ya wahanga wa utawala wa Mama yake!
 
Sikubaliani na watu wanaosema jeshi lichukue nchi.
Hata mimi sikubaliani na Jeshi kutwaa mamlaka ya kiraia..

Lakini kama italazimu, ni bora wachukue washughulike na wahuni wote ndipo warejeshe mpira kwa raia..

Iwe tu hivyo, maana sisi kama raia tumeshindwa kujisimamia na kujiongoza..!
Jeshi linatakiwa kusitisha uchaguzi na kuakikisha reforms zinafanyika ndipo uchaguzi ufanyike
Hopefully, hiki ndicho kinachoendelea kujadiliwa sasa..

It's such simple, kwamba:

1. Bi Samia alazimishwe ku - step down kama mgombea u - Rais huko CCM

2. Bi Samia alazimishwe kuitisha bunge haraka na mapema iwezekanavyo ili lifuate utaratibu wa kikatiba kuahirisha uchaguzi hadi mwakani Oktoba, 2026 na serikali iliyopo iongezewe muda kuwepo madarakani kwa mwaka mmoja zaidi

3. Kuitishwe mkutano wa kitaifa wa reconciliation na kurekebisha sheria na taratiba zinazokwaza wananchi kushindwa kushiriki kwenye masuala ya uendeshaji wa nchi yao kupitia chaguzi huru, wazi, za haki na zinazoaminika

4. Bi Samia afute kesi zote za kisiasa na kuwaachia wote walisweka ndani kwa makosa ya uongo ya kisiasa. nk

#Tuko jikoni, tunajadili haya. Don't worry, kila kitu kitakwenda sawa. Nakuhakikishia kuwa, Rais Samia akiyagomea haya, hatakuwa na choice bali yeye na watu wake have to be ready to face the consequences of their actions...
 
Na yeye ni binadamu tena over 60 na morbidly obese. Kitatokea tu. Ni suala la muda tu kwetu wanadamu...

View attachment 3484462
Wanasiasa husoma psychology za watu kuwa wanapenda nini...

Possibly, watu wa eneo lake wanakufa sana na wanapata shida kuzikana kwa kuwa ardhi ya udongo wa ule ni changarawe na miamba ya mawe..

Kwa hiyo atawanunulia mashine za kuchimba makaburi, wafe wengi na wazikane kwa urahisi😀😀😀
 
Mbona wataendelea na Campaign huko Mwanza hivi karibuni?. Kuna mapumziko jamani acheni ramli chonganishi.
 
Ujinga kuzidi huu wako? Kwamba yeye ataishi milele? Unakuwa chawa mpaka unapoteza logic. Yeye ni nani asife? Siyo binadamu?

Kufa atakufa. Na watu watashangilia na kukesha baa!

Ila uchawa aisee ni LAANA!
Wewe utabaki milele?(unashangaza)
Ko unaamini akifa kitabadilika kitu gani?? Ankali alivifariki mkafurahi ona sasa mnatamani angekuwa hai,
Yani hamjui mnataka nini?
Chukua hii
Kufa kwa mtawala sio chanzo cha mabadiliko (yawe hasi au chanya)
 
Wewe utabaki milele?(unashangaza)
Ko unaamini akifa kitabadilika kitu gani?? Ankali alivifariki mkafurahi ona sasa mnatamani angekuwa hai,
Yani hamjui mnataka nini?
Chukua hii
Kufa kwa mtawala sio chanzo cha mabadiliko (yawe hasi au chanya)
Mimi nimesema wapi kuwa nitabaki milele? Naona logic inakupiga chenga balaa!

Kwa hiyo tunakubaliana kuwa naye siku moja atakufa? Mzozo wetu ulikuwa hapo tu. Mengine mimi hayanihusu. Sipo Tanzania; na wala siko hapa kuisemea jamii inataka nini.

Kama tumekubaliana kuwa naye atakufa basi mjadala huu umefungwa. Kila la heri!

 
Rudi Tz utiki 29 October! Yajayo yanafurahisha ukiwa na utayari🔥🔥
 
Wanasema kesho anakuja huku mwanza. Natamani tumshughulikie
 
Hata Reform ikifanyika hakuna uchaguzi ....samia ana tena sifa za kugombea bali ana sifa za kunyongwa
Samia yupo wapi na yu Hali gani?

Kampeni zimesitishwa?

Hakuna uchaguzi mwaka huu

Bila reform tuliwaambia mkashupaza shingo

Tuendelee kuwepo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…