GE2025 Samia: Vijana wa Kitanzania, msidanganywe. Ukichukua Afrika Mashariki, pengine na kusini kidogo na kati, Tanzania ni pepo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,230
Jamani njooni mmsikie mama kizimkazi, Mama anabwebwe huyu za mdomoni.

Kama kweli Tanzania ni pepo mbona shida zipo nyingi, utekaji umeshamili, ufisadi ndio maisha ya vigogo. Embu tuache kidogo.
============
“Lakini vijana wa Kitanzania, msidanganywe. Ukichukua Afrika Mashariki, pengine na kusini kidogo na kati, Tanzania ni pepo. Hapa mpo kwenye nchi yenye jina, yenye sifa zake, yenye kuendeleza watu wake. Msidanganywe, wale walioko huko nje wasiwadanganye. Hapa mko pazuri kweli kweli,” amesema Dkt. Samia.

Akizungumza katika mkutano mkubwa wa kampeni uliofanyika leo 23 Oktoba, 2025 katika Viwanja vya TANESCO, Temeke, Dkt. Samia

Ni pepo kwa Samia na watoto wake, lakini kwa watoto wa Mzee Kibao, Azory Gwanda, Ben saa8, MDUDE, Chaula, Polepole, Lissu, Heche, Lema n.k ni jehanamu kamili!
 
Pepo unaiona wewe unayeshinda kwenye kiyoyozi ukitapanya rasilimali na kodi zetu. Hichi ki mama ni Kifupi, kijinga na kina sura mbaya sijui kinawezaje kuwa yote haya at the same time
 
Back
Top Bottom