Kimbesa11
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 4,652
- 2,696
Husika na mada tajwa hapo juu.
Tanzania imebahatika kuwa na Rais ambaye anaweza kuitetea na Kuilinda Tanzania dhidi ya manyanyaso ya mabeberu.
Mwisho kabisa nipende Kumpongeza sana Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuonyesha ukakamavu na uzalendo wa hali ya juu kwa Taifa letu, kwa kuendesha uongozi kisayansi hakika Tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan.
Mungu Mubarak Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan
Mungu Ibariki Tanzania
Kazi na utu Tunasonga mbele
Kazi iendelee 🇹🇿❤️
Tanzania imebahatika kuwa na Rais ambaye anaweza kuitetea na Kuilinda Tanzania dhidi ya manyanyaso ya mabeberu.
- ameionyesha Dunia kuwa Tanzania inaweza kusimama bila wao, huo ndo uongozi ambao Africa inahitaji kwa Sasa.
- ameyakataa mashinikizo ya kimagharibi waziwazi bila kificho, kupitia hili ameionyesha Dunia kuwa wanawake wanaweza, na Historia itamkumbuka Dr. Samia kama kiongozi hodari na makini.
- amekataa kupelekeshwa na mashinikizo ya watu/vikundi vya watu/nchi YOYOTE, hili limemiongezea heshima kubwa Duniani. Namnukuu Mh. RAIS "Tanzania haiongozwi kwa mashinikizo ya aina YOYOTE" that is leadership.
- Mh. RAIS amesimama na Maadili ya Tanzania, amesimama na amani ya Tanzania, amesimama na uchumi wa Tanzania. Hongera sana Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan.