View attachment 3592075
Dkt. Samia Suluhu Hassan kubadili majiji, Dar es Salaam na Dodoma.
📌Atatandaza Flyover Tabata, Morocco, Mwenge hadi Kongowe
📌Zitafuata pia za makutano ya Fire, Magomeni na eneo Kamata
📌Dar, Mkoa Pwani kushuhudia barabara njia 8, Dodoma njia 6