GE2025 Samia: Kibati Kikipasuka, sisi tuko nao, ninayezungumza ni Amirijeshi mkuu, Tokeni mkapige Kura Oktoba 29, 2025

GE2025 Samia: Kibati Kikipasuka, sisi tuko nao, ninayezungumza ni Amirijeshi mkuu, Tokeni mkapige Kura Oktoba 29, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
604
"Tumedhamiria kufanya kazi. Tumefanya kazi mmeiona na tunajiamini kwamba tutaweza kufanya tena kazi kipindi cha pili cha awamu ya sita, kazi ya kuonekana kwamaana hiyo niombe mtuchague Chama Cha Mapinduzi

“Na hapa niseme ndugu zangu ili niwatoe hofu, kuna watu wanatishatisha ili kuwafanya watu wasitoke tarehe 29 nataka kuwaambia ninayezungumza hapa ni Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi hii, nataka kuwaambia WASITHUBHUTU, kibati tu kikipasuka, sisi tupo nao.

Tumejipanga vizuri tokeni kapigeni kura, rudini nyumbani mkapumzike, hakuna hofu, hakuna kuogopa. Tokeni mkapige kura tarehe 29.”- Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi akizungumza na wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu leo Oktoba 10, 2025 wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni zake Mkoani humo.

"Na hapa niseme ndugu zangu ili niwatoe hofu, kuna watu wanatishatisha ili kuwafanya watu wasitoke tarehe 29 nataka kuwaambia ninayezungumza hapa ni Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi hii, nataka kuwaambia WASITHUBHUTU, kibati tu kikipasuka, sisi tupo nao. Tumejipanga vizuri tokeni kapigeni kura, rudini nyumbani mkapumzike, hakuna hofu, hakuna kuogopa. Tokeni mkapige kura tarehe 29."- Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi akizungumza na wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu leo Oktoba 10, 2025 wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni zake Mkoani humo.

"Tumedhamiria kufanya kazi. Tumefanya kazi mmeiona na tunajiamini kwamba tutaweza kufanya tena kazi kipindi cha pili cha awamu ya sita, kazi ya kuonekana kwamaana hiyo niombe mtuchague Chama Cha Mapinduzi
Kazi ya kuwateka na kuwaua waTanzania sote tumeiona; hili halihitaji kukumbushiwa.

Kazi ya kuvuruga raslimali za tifa hili tumeiona; hata mapori yetu hatuwezi kuyamudu sisi wenyewe, kama ilivyo bandari zetu, na kwingineko

Kazi ya kuvuruga umoja wa waTanzania hakuna anayetaka kukumbushwa juu yake. Sasa hivi kuna waTanzania walinda AMANI; na wengine ni waTanzania wa AMANI na HAKI. Huu ni mgawanyiko mkubwa sana uliowahi kutokea ndani ya nchi yetu; kutokana na hiyo kazi mliyofanya.

Kazi ya kuwafanya waTanzania kuwa watwana tu, wa kuwatumikia wenye walio nacho na wageni kutoka nje; hatuhitaji kukumbushiwa kuwa mmeianza na kuifanya kwa bidii sana.

Mmetuonyesha jinsi msivyo guswa na maisha ya waTanzania katika mlicho kifanyia kazi kwa ndugu zetu wamasai wa Ngorongoro kwa kuwahamisha makazi yao ili kuwanufaisha wenyewe na hao mnao wafanyia kazi..

Gesi ya Ntorya Mtwara, mmeifanyia kazi na kuwapa wajomba zenu kinyemera

Kwa hiyo sasa hivi mnatulazimisha mubaki madarakani kwa nguvu ili mtufanyie kazi ya kutuuza moja kwa moja?

Sasa tunasema HAPANA.
 
"Kuna watu wanatishatisha ili kuwafanya watu wasitoke tarehe 29, nataka kuwaambia ninayezungumza hapa ni Amirijeshi Mkuu wa Nchi hii, nataka kuwaambia WASITHUBHUTU, kibati tu kikipasuka, sisi tupo nao. Tumejipanga vizuri"— Samia Suluhu Hassan

Hakuna kituu hapoo unatoka hapo tuachie nchi yetu....hutosheii
 
Screenshot_20250720-193211~2.jpg
 
"Na hapa niseme ndugu zangu ili niwatoe hofu, kuna watu wanatishatisha ili kuwafanya watu wasitoke tarehe 29 nataka kuwaambia ninayezungumza hapa ni Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi hii, nataka kuwaambia WASITHUBHUTU, kibati tu kikipasuka, sisi tupo nao. Tumejipanga vizuri tokeni kapigeni kura, rudini nyumbani mkapumzike, hakuna hofu, hakuna kuogopa. Tokeni mkapige kura tarehe 29."- Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi akizungumza na wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu leo Oktoba 10, 2025 wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni zake Mkoani humo.
LOOOOooooh!

Mbona katoa BONGE la 'promotion' ya watu kutokwenda kupiga kura!EEeeeennHEEEee!
 
Naona na yeye sasa dawa imeanza kumuingia sehemu husika. Aendelee tu kuteka na kuua Watanganyika! Na hiyo tarehe 29 auwe tu Watanganyika wengi kadiri apendavyo! halafu tutaona na yeye mwisho wake utakuwaje.
 
Back
Top Bottom