PostGE2025 Samia kawaondolea Mashaka yote waTanzania juu ya “Mhusika ni Nani?”

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Kalamu

Platinum Member
Joined
Nov 26, 2006
Posts
19,488
Reaction score
26,109
Pasipo shaka yoyote, Samia Suluhu Hassan kawaondlea mashaka waTanzania ni nani mhusika katika matukio mbalimbali ya hovyo yaliyotokea humu nchini tongia aingie madarakani.

Pamoja na kwamba akina Mafwele na kikosi chake hawawezi kujivua lawama za kutekeleza unyama wa kuteka, kupoteza na kuua; lakini sasa imejulikana matendo yao hayo maovu yanatekelezwa kutimiza amri toka kwa Samia Suluhu Hassan.

Wakati Mzee Mohamed Kibao alipouliwa kinyama sana watu walijiuliza sababu za huyo mzee ambaye alikuwa hajasikika kwa kauli yoyote ya kisiasa ambayo ingeweza kumweka matatani. Lakini baada ya kujulikana aliyoyasema juu ya Bw. Abdula kwa ushirikiano na Mbowe, baadhi wakaanza kudhani kazi hiyo chafu itakuwa imetekelezwa kwa ushirikiano kati ya Mbowe na Bw. Abdula.

Sasa ni bayana kabisa kuwa utekelezaji wa kazi hiyo ilikuwa ni amri toka kwa Amiri Mkuu kwa Kikosi chake cha kutekeleza maovu, kikiongozwa na Faustine Mafwele.

Kama ilivyo kawaida ya muuaji, Samia hakutamka hata neno juu ya unyama ule, hadi alipolazimika kufanya hadaa zake za kawaida kwa kuahidi uchunguzi, ambao hadi leo hakuna chochote kilichosemwa tena juu ya swala hilo.

Samia Suluhu Hassan ni mtu anayechemshwa akili kufanya maovu kirahisi sana; hata kwa lugha tu wanazotumia vijana zinamwondoa akili kabisa. Akina Soka, Mdude Nyagali na wengineo walikosa kujuwa alichokuwa akidai mara kwa mara, "matumizi ya lugha ya staha", na mwisho wao ndio ikawa mauti kwao.

Tukio la kosakosa lililompata Padre Kitima, sasa ni wazi kabisa hiyo ilikuwa ni amri toka kwa Samia Suluhu Hassan moja kwa moja. Hiyo haikuwa kazi ya mjinga mjinga fulani kama "mhadhri wa chuo cha kidini aliyejitokeza mbele kukitekeleza.

Akina Polepole, na wengi wengine wametekwa na kupotea, hatujui hatma ya maisha yao; sasa ni dhahiri amri ya kuwateka imetoka moja kwa moja kwa Samia Suluhu Hassan.

Vijana wengi wameuliwa Tanganyika Oktoba 29 na kuendelea. Samia kajifunua wazi kuwa ni amri yake ilikuwa ikitekelezwa kuwaua watu hawa. Haya hayakuwa maamuzi ya mapolisi wanaotafuta vyeo, ni amri ya moja kwa moja toka kwa Amiri Jeshi Mkuu wao.
Samia anaeleza kuwa mwaka 2021 Mkapa alipeleka vikosi Zanzibar vikawaue ndugu zake Samia; kwa hiyo safari hii ilikuwa ni zamu ya waTanganyika kulipa deni chini ya Samia Suluhu Hassan.

Samia amekwisha haribikiwa. huwezi kumwaga damu za watu halafu ukabaki salama. Hadi hapo atakapopewa haki yake inayomsubiri, huyu sasa ni muuaji tu; hakuna tena kitakachomstua.

Asipodhibitiwa mapema, ataendewlea kumwaga damu ya waTanzania, na nchi itaghubikwa na huzuni kubwa.

Nimalize tu kwa kusema, Samia hana mwisho mzuri, na hatachukua muda mwingi kufikia mwisho wake.
 
Kwani amekiri yeye ndiyo alishika bunduki na kuua watu?

Na kama ni yeye je alofanya hivyo kama Samia au kama Rais?
 
Unasema hana mwisho mzuri wewe kama nani?je wewe una mwisho mzuri?
 
Sina shaka kabisa juu ya mwisho wangu kuwa tofauti kabisa na huo wa huyo shetani Samia, hilo hata usiwe nalo shaka.
Bado unayo mashaka yoyote juu ya mwisho wa Samia? Nawe ni nguruwe anayetegemea kutupiwa makombo na huyo mfugaji wako?
 
Kwani amekiri yeye ndiyo alishika bunduki na kuua watu?

Na kama ni yeye je alofanya hivyo kama Samia au kama Rais?
Samia siyo Rais; hajachaguliwa kihalali na waTanzania. Kajichagua mwenyewe na kulazimisha kuwa madarakani.
kama hili hulijui, wewe utakuwa ni mnyama unayefugwa tu na yeye.
 
Kwani amekiri yeye ndiyo alishika bunduki na kuua watu?

Na kama ni yeye je alofanya hivyo kama Samia au kama Rais?
Mkuu haya maswali mbona yapo level ya chini sana?
Unaposkia Netanyahu, Putin nk. Wameshtakiwa kwa mauaji unafikiri walishika bunduki?

Samia na raisi vinatengana vipi? Akifanya kama raisi anakua sio Samia?
 
Back
Top Bottom