Mkuu unashauri mtu ambaye roho yake ya kibinadamu ishatoweka…Samia yupo kwnye paranoia, ana muogopa kila mtu, akikuhisi kidogo tu unapotezwa, ameshajua hakuna namna nyingine ya kuendelea kuongoza isipokuwa ni kuua, na ikifika mwisho wa awamu yake, aweke mtu wake wa kumlinda, kwasasa ameinua mapanga juu akiitafuta 2030. Na utashuhudia mauji yakiongezeka kwa kasi pale ICC ikifungua kesi rasmi ili kupoteza ushahidi.