pulex
JF-Expert Member
- Nov 3, 2023
- 513
- 2,038
Alikwenda kwenye mkutano wa AU pamoja na mambo mengi alitegemea kutambulishwa kama Rais aliyemaliza CHAGULIWA nchini TZ.
Wenzake waliomaliza kushinda uchaguzi wakatambulishwa, yeye akaondoka kwa aibu kuliko hata alivyokwenda.
Kwa M7 ni bado hajaapishwa hivyo alitambuliwa kama Raisi wa awamo iliyopita.
Kizimkaz akaanza saka marais wa kupiga nao PICHA, akiwa amekaa nao kwenye vikao vya pembeni, Wengi wakamkimbia, hata wastaafu wakamkwepa kabisa
Kama leo AU inakimbia mtu namna hii ujue wanajua huyu ni mfungwa kujihusisha naye italeta shida kisiasa baadaye, kwa mauaji aliyofanya.