GE2025 Samia: CCM tunataka ushindi wa heshima tuwazibe midomo wale wengine

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni tarehe leo Septemba 23, 2025, Mangaka, wilaya ya Nanyumbu, mkoa wa Mtwara amesema chama hicho akina shida na ushindi kwa kuwa ni uhakika lakini watu wakapige kura ili kuwafunga midomo wale wengine.

G1bnj4BXYAAJ6jC.jpeg
 
Kibibi hakina aibu kimefukuza kivuli chake sasa siku ya 25 hadi amepata delirium.
 
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni tarehe leo Septemba 23, 2025, Mangaka, wilaya ya Nanyumbu, mkoa wa Mtwara amesema chama hicho akina shida na ushindi kwa kuwa ni uhakika lakini watu wakapige kura ili kuwafunga midomo wale wengine.
Iwapo ni kwa kushindana matawi ya chama kikongongwe hata 100% inawezekana.
 
Pale unapotimuwq mbio peke yako, kutoka point A hadi hadi pointi B, unakuwa wa kwanza na wa mwisho pia. Yahani mshindi aliyejishinda.
 
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni tarehe leo Septemba 23, 2025, Mangaka, wilaya ya Nanyumbu, mkoa wa Mtwara amesema chama hicho akina shida na ushindi kwa kuwa ni uhakika lakini watu wakapige kura ili kuwafunga midomo wale wengine.
Ndio maana mmemfunga mdomo Mpina mlijua atawapunguzia kura huky Lissu mkipanga afie jela na ulemavu wake mliompa.
 
Back
Top Bottom