CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,444
- 42,191
Ushindi wa heshima kwa ushindani gani, huo wa kushindana na Salum Mwalimu? Hizi pombe za mchana hizi ni shida sana.
Mungu atakuwa kasahawaziba midomo nyi kabla ya hayo matokeoDkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amewaomba wananchi na wanachama wa CCM kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la upigaji wa kura Oktoba 29, 2025 ili kukiwezesha chama hicho kupata ushindi wa heshima na wa kishindo.
Dkt. Samia ameyasema hayo Septemba 10, 2025 wakati akizungumza na maelfu ya wananchi wakati wa kampeni za chama hicho wilayani Igunga mkoani Tabora, akiahidi pia kuendelea kuwatumikia kwa juhudi zaidi katika kuwaletea maendeleo.
"Mtakapokuja na ushindi wa heshima kwa jina jingine ushindi wa kishindo wa Chama Cha Mapinduzi tutaweza kuziba midomo wale wengine lakini la pili inapendeza sana kuona wananchi mnajaa sana kwenye viwanja vya mikutano namna hii, sasa idadi iende ikajionesshe kwenye masanduku ya kura vinginevyo wenzetu watatucheka".
Umetisha KiongoziTRA VS GETI LA KATA LA KUKUSANYIA MAPATO YA NDIZI NI USHINDI WA HESHIMA.
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amewaomba wananchi na wanachama wa CCM kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la upigaji wa kura Oktoba 29, 2025 ili kukiwezesha chama hicho kupata ushindi wa heshima na wa kishindo.
Dkt. Samia ameyasema hayo Septemba 10, 2025 wakati akizungumza na maelfu ya wananchi wakati wa kampeni za chama hicho wilayani Igunga mkoani Tabora, akiahidi pia kuendelea kuwatumikia kwa juhudi zaidi katika kuwaletea maendeleo.
"Mtakapokuja na ushindi wa heshima kwa jina jingine ushindi wa kishindo wa Chama Cha Mapinduzi tutaweza kuziba midomo wale wengine lakini la pili inapendeza sana kuona wananchi mnajaa sana kwenye viwanja vya mikutano namna hii, sasa idadi iende ikajionesshe kwenye masanduku ya kura vinginevyo wenzetu watatucheka".
😣😣amesema chama hicho akina shida na ushindi kwa kuwa ni uhakika
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni tarehe leo Septemba 23, 2025, Mangaka, wilaya ya Nanyumbu, mkoa wa Mtwara amesema chama hicho akina shida na ushindi kwa kuwa ni uhakika lakini watu wakapige kura ili kuwafunga midomo wale wengine.
Anashindana na nani hivi huyu mwanamkeMgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni tarehe leo Septemba 23, 2025, Mangaka, wilaya ya Nanyumbu, mkoa wa Mtwara amesema chama hicho akina shida na ushindi kwa kuwa ni uhakika lakini watu wakapige kura ili kuwafunga midomo wale wengine.
MwalimuAnashindana na nani hivi huyu mwanamke