Wakuu habari,
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Suluhu Hassan anastahili kupewa tuzo ya Rais mkimya na mwenye kiburi, asiyejali maoni na vuguvugu ya wananchi kuhusu usalama wa Taifa na uovu wa wanasiasa.
Ni muda sasa tangu Polepole na Gwajima waibuke wakielezea mifumo mibovu ya utawala, uminywaji wa haki na wizi unaondelea baina ya viongozi wa serikali. Lakini cha ajabu Rais Samia kila siku anahudhuria mikutano ya amani mara ziara za uzinduzi, sehemu anazopata nafasi na kuzungumza na wananchi lakini kaamua kukaa kimya bila kujali sintofahamu wanayopitia wananchi kwa hizi tuhuma na Polepole na Gwajima.
Kama Kiongozi wa nchi lazima utoe tamko kwa yanayoendelea tena utoe ufafanuzi, yeye yuko bize kuzindua miradi ambayo baadae atakuja kutumia kujinadi kwenye kampeni za uchaguzi, eti nimefanya hiki mbona anashindwa kujibu hoja za Polepole na Gwajima? ili tujue kweli yeye ndiye anaongoza nchi
Hii inadhihirisha huyu Samia yupo yupo kwenye uongozi kwa maslahi yake na ninashangaa sana wale wanaosema mitano tena kwa Samia, hivi mnataka nchi iuzwe kabisa ndo bongo zifunguke?
Watanzania tutafakari sana haya yanayoendelea na kuchukua hatua