technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,680
- 58,675
Ni kwasababu ni mambo unayopenda kusikiaUshauri mzuri sana!
Toa neno mzee wangu
Anaweweseka tuHuenda una taarifa fulani.
Sawa TanzagizaHauna ushahidi acheni siasa za kuleta matukio ya hovyo, hakuna kibaya anafanya ..Hizo ni changamoto na atamaliza tu ..Yule alikuwa mnamuita dikteta ...
Acha ujuha ,Rais hana muda wa kumfuatilia mtu wala kutoa hukum..Soma uelewe deep state wanaweza kukupata hata wewe hiyo ni kazi yao ..Raisi hausiki achana na porojo za wanasiasa.Sawa Tanzagiza
Mbona kufoka kwingi hapa situnaongea au kuna ugomvi?Acha ujuha ,Rais hana muda wa kumfuatilia mtu wala kutoa hukum..Soma uelewe deep state wanaweza kukupata hata wewe hiyo ni kazi yao ..Raisi hausiki achana na porojo za wanasiasa.
Wapo wengi wenye viwewe humu,ni bora mkawajulisha.Anaweweseka tu