Mzee wa Daah!
Mtakuja na Kila ya aina ya chambuzi zenu za kitec na kikitima lkn hamtofanikiwa Nia yenu mbovu hiyo ya kishetani.Nimemsikiliza,
Kwa haraka haraka kuna vitu viwili au vitatu vinakuja ukiwa unamasikiliza kwa hotuba ya leo.
👉kwanza, anajibizana na wakina mama wenzie, hapa naongelea Mange na Maria Sarungi. Ni wazi ndio anaojibizana nao na hata ukiangalia video ya Mange muda mfupi baadae unaona kabisa hawa wanajibizana 😃
👉pili, inaonekana ziara ya spika zungu kule uarabuni ilizaa matumaini. Manake bibie kawatumia ujumbe wazungu kwamba wao si chochote na vijipesa vyao havimsumbui. Kwanini hakusema hivi kabla ya zungu kwenda kuhemea? Basi zungu atakuwa amepata pata vijipesa kwa waarab.
👉 tatu, tegemea press za kutisha zaidi kutoka kwa wanaojiita masheik, na hakuna kiongozi yeyote sasa hivi atawakemea. Wale wa kwanza Bwana madenge chalamila alifanya kama kuwakemea. Lakini Sasa bibie kavaa gloves kuwajoin, unategemea nini?
Kubwa kuliko yote, bibie ametoa hotuba ya kubet. Yaani ni kwamba kabla hajaongea yalikuwepo mawili, aombe utulivu na yeye awe mpole na mnyenyekevu mbele ya wananchi na kutoa promise za kuwajibisha watu au kuwa mkali na kuonesha ameua na hakuna cha kumfanya. Bibie ameamua kuchagua la pili-kuwa mkali na kusema ameua. Si kwamba amependa, hapana. Maandamano ya D9 ndiyo yamemlazimisha kubet kwa chaguo hili. Lengo ni kutia watu Hofu na kuonesha kuwa wakidhubutu kufanya tena atafanya kama alivyofanya. Wewe Jiulizeni, kwanini akukili kuua wakati wa kuapishwa, au wakati wa kufungua bunge, au wakati wa kuapisha mawaziri? Sehemu zote hizo alionekana kukana na kujitoa maana presha ya D9 ilikuwa bado hiko chini.
Bibie amekuwa cornered na kwakuwa threats za nywinywinywi hazikufua dafu ameamua aoneshe kuwa yeye ni bandidu flani hivi. Hiki ni kiashiria cha kutokua prepared enough kudhibiti maandamano makubwa. Je mkeka utakubali au utachanika?
Hapa swali siyo je maandamano yatafanyika? Swali la msingi ni maandamano yatafanyika lini?
Karibu sana😋😋😋😋D9 tuta kuewepo kazi ni kwake achague pa kujificha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Una kitu usikilizwe kwa makini
Maandamano yakifanikiwa kuindoa ILI fala dada lake GENTAMYCINE nalisha ng'ombe 20 mtaa wangu woteNgoja tusubir,bahat nzur siku nazo zimebak chache
Kuliko kuachia ngazi, fazafaka yuko tayari kuwauzia Waarabu hii nchi.Nimemsikiliza,
Kwa haraka haraka kuna vitu viwili au vitatu vinakuja ukiwa unamasikiliza kwa hotuba ya leo.
👉kwanza, anajibizana na wakina mama wenzie, hapa naongelea Mange na Maria Sarungi. Ni wazi ndio anaojibizana nao na hata ukiangalia video ya Mange muda mfupi baadae unaona kabisa hawa wanajibizana 😃
👉pili, inaonekana ziara ya spika zungu kule uarabuni ilizaa matumaini. Manake bibie kawatumia ujumbe wazungu kwamba wao si chochote na vijipesa vyao havimsumbui. Kwanini hakusema hivi kabla ya zungu kwenda kuhemea? Basi zungu atakuwa amepata pata vijipesa kwa waarab.
👉 tatu, tegemea press za kutisha zaidi kutoka kwa wanaojiita masheik, na hakuna kiongozi yeyote sasa hivi atawakemea. Wale wa kwanza Bwana madenge chalamila alifanya kama kuwakemea. Lakini Sasa bibie kavaa gloves kuwajoin, unategemea nini?
Kubwa kuliko yote, bibie ametoa hotuba ya kubet. Yaani ni kwamba kabla hajaongea yalikuwepo mawili, aombe utulivu na yeye awe mpole na mnyenyekevu mbele ya wananchi na kutoa promise za kuwajibisha watu au kuwa mkali na kuonesha ameua na hakuna cha kumfanya. Bibie ameamua kuchagua la pili-kuwa mkali na kusema ameua. Si kwamba amependa, hapana. Maandamano ya D9 ndiyo yamemlazimisha kubet kwa chaguo hili. Lengo ni kutia watu Hofu na kuonesha kuwa wakidhubutu kufanya tena atafanya kama alivyofanya. Wewe Jiulizeni, kwanini akukili kuua wakati wa kuapishwa, au wakati wa kufungua bunge, au wakati wa kuapisha mawaziri? Sehemu zote hizo alionekana kukana na kujitoa maana presha ya D9 ilikuwa bado hiko chini.
Bibie amekuwa cornered na kwakuwa threats za nywinywinywi hazikufua dafu ameamua aoneshe kuwa yeye ni bandidu flani hivi. Hiki ni kiashiria cha kutokua prepared enough kudhibiti maandamano makubwa. Je mkeka utakubali au utachanika?
Hapa swali siyo je maandamano yatafanyika? Swali la msingi ni maandamano yatafanyika lini?
Mi sio sheheSamaleko sheik wangu! 🤗
Inaonekana amejiandaa kuua tena na tenaNimemsikiliza,