SAMIA: Aliyepitia Njia Haramu, Haiwezekani Awe Halali

Ameikanyaga, ameidharau na kuinajisi katiba ya CCM na katiba ya Tanzania.

Amedharau wana-CCM na Watanzania wote kwa kujipitisha kibabe bila kufuata katiba zote mbii, taratibu, misingi, tamaduni.

Kazi ya kwanza ya Rais ni kufuata na kuilinda katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yeye anafanya exactly opposite.
Aachane na siasa aimbe taarab
 
Tatizo lako mleta mada una uelewa mdogo na wenzio waunga mkono hoja yako humu.

Huelewi kitu Mkutano mkuu ndio kikao cha juu kabisa cha maamuzi.Ndicho CEO au Raisi wa CCM

Maamuzi yake ni makubwa na ya mwisho waweza amua hata kuvunja kamati kuu au Halmashauri kuu ya CCM

Maamuzi yao sio lazima yayegemee vikao vya chini .Iwe Halmashauri kuu au kamati kuu au matawi.

Waweza kuja na agenda wenyewe bila kupokea mapendekezo toka kikao chochote cha chini

Wengine wanauliza Agenda ya kumpendekeza Samia kuwa mgombea ilitoka wapi? Ilitoka kwenye mengineyo
Kikao chochote huwa na agenda mbalimbali .Agenda mojawapo ni ya Mengineyo
Ndipo Kikwete akatoa pendekezo sio amri kuwa Samia awe Mgombea uraisi pekee Wa CCM. Mkutano mkuu ukaridhia ambacho ndicho kikao cha juu ambacho huridhia wagombea

Baada ya mkutano mkuu kuridhia hahitaji tena kujaza fomu .Kaombwa na mkutano mkuu hajajipendeleza.Kujaza fomu ni pale mtu anajipendekeza ili huko mbele mkutano mkuu uridhie.

Yeye kaombwa na mkutano mkuu ambao ndio chombo kikubwa cha mwisho kwenye maamuzi ya Chochote cha CCM.

mkutano mkuu Waweza ibuka na hoja zao mpya sio lazima wapelekewe na vikao vya chini au majina ya wagombea wapelekewe na vikao vya chini.Mkutano mkuu haauwajibiki kwa vikao vya chini iwe Halmashauri kuu au kamati kuu.Waweza fanya maamuzi mapya wenyewe.Na yako halali kikatiba na kisheria popote.Hata mtu aende mahakamani kupinga atashindwa

Hivyo vifomu vyako havimhusu mtu ambaye kaombwa na mkutano mkuu awe Raisi .mbunge au diwani

Kikao cha juu kabisa kiliamua awe Samia wamemaliza kazi
 
Attachments

  • Screenshot 2024-12-04 083841.png
    Screenshot 2024-12-04 083841.png
    210.5 KB · Views: 10
Kwa kipimo chochote kitakachotumika, huyu ni mgombea haramu kwa mujibu wa katiba ya chama chake kwa sababu uteuzi wake ulifanywa na wahuni waliopangwa ndani ya chama.
Huelewi kitu uteuzi unaoongelewa hufanywa na tume ya Uchaguzi sio Chama

Ni tofauti na Uteuzi ndani ya vyama.Ndani ya vyama waweza fanya wakati wowote wakiamua hata miaka mingi kabla uchaguzi

Unajichanganya mambo ya vyama na ya tume ya uchaguzi
 
Tatizo lako mleta mada una uelewa mdogo na wenzio waunga mkono hoja yako humu.

Huelewi kitu Mkutano mkuu ndio kikao cha juu kabisa cha maamuzi.Ndicho CEO au Raisi wa CCM

Maamuzi yake ni makubwa waweza amua hata kuvunja kamati kuu au Halmashauri kuu ya CCM

Maamuzi yao sio lazima yayegemee vikao vya chini .Iwe Halmashauri kuu au kamati kuu au matawi.

Waweza kuja na agenda wenyewe bila kupokea mapendekezo toka kikao chochote cha chini

Wengine wanauliza Agenda ya kumpendekeza Samia kuwa mgombea ilitoka wapi? Ilitoka kwenye mengineyo
Kikao chochote huwa na agenda mbalimbali .Agenda mojawapo ni ya Mengineyo
Ndipo Kikwete akatoa pendekezo sio amri kuwa Samia awe Mgombea uraisi pekee Wa CCM. Mkutano mkuu ukaridhia ambacho ndicho kikao cha juu ambacho huridhia wagombea

Baada ya mkutano mkuu kuridhia hahitaji tena kujaza fomu .Kaombwa na mkutano mkuu hajajipendeleza.Kujaza fomu ni pale mtu anajipendekeza ili huko mbele mkutano mkuu uridhie.

Yeye kaombwa na mkutano mkuu ambao ndio chombo kikubwa cha mwisho kwenye maamuzi ya Chochote cha CCM.

mkutano mkuu Waweza ibuka na hoja zao mpya sio lazima wapelekewe na vikao vya chini au majina ya wagombea wapelekewe na vikao vya chini.Mkutano mkuu haauwajibiki kwa vikao vya chini iwe Halmashauri kuu au kamati kuu.Waweza fanya maamuzi mapya wenyewe.Na yako halali kikatiba na kisheria popote.Hata mtu aende mahakamani kupinga atashindwa

Hivyo vifomu vyako havimhusu mtu ambaye kaombwa na mkutano mkuu

Kikao cha juu kabisa kiliamua awe Samia wamemaliza kazi
Mkuu, kwanza elewa kuwa hata Mkutano Mkuu wa CCM hauko juu ya Katiba ya Chama, wala hauko juu ya kanuni, taratibu na demokrasia ya ndani ya chama. Ukiwa na uelewa sahihi wa katiba, hutapotosha watu kwa kujificha kwenye “kikao cha juu” kana kwamba huo ni uungu mtu. Hata Mkutano Mkuu UNAWAJIBIKA kuendesha shughuli zake kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya mwaka 1977 (Toleo la 2020).

1. Katiba ya CCM – Ibara ya 100 (5)(b):

"Mkutano Mkuu wa Taifa utashughulikia:
(b) Kuchagua jina moja la mwanachama atakayesimama katika uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania."

👉 Hapa tafsiri ni wazi: Mkutano Mkuu hauteui kwa pendekezo la mtu mmoja (hata kama ni Kikwete). Unachagua jina MOJA kutoka miongoni mwa waliopendekezwa au walioomba kwa kufuata utaratibu wa ndani.

2. Ibara ya 6(7)(b) ya Katiba ya CCM:

"Demokrasia ya kweli ndani ya Chama ni msingi wa maamuzi yote, na itazingatia uhuru wa kila mwanachama kushiriki katika uteuzi, uchaguzi na maamuzi ya chama."

👉 Samia kupitishwa bila mchakato wa kidemokrasia wa kuchukua fomu ni kuvunja ibara hii. Kama demokrasia ya kweli ndani ya chama inaruhusu mwanachama kugombea, ni lazima kuwe na mchakato wa wazi.

3. Ibara ya 107A(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977):

"Mahakama kuu ya Tanzania ndiyo yenye mamlaka ya mwisho ya kuamua haki na usawa mbele ya sheria kwa kila mtu."

👉 Hii inaonyesha kuwa hata maamuzi ya chama, yakikandamiza haki za watu au kuvunja mchakato wa wazi wa demokrasia, yanaweza kupingwa kikatiba na kisheria.

Sasa kuhusu hiyo "Agenda ya Mengineyo" aliyotaja:

Huwezi kupitisha mgombea wa nafasi ya juu kabisa kwa "mengineyo" kana kwamba ni ajenda ya kubadilisha menu ya chakula. Katiba haifanyi utani. "Mengineyo" ni ajenda ya dharura au nyepesi – siyo ya kumtangaza mgombea wa urais wa taifa. Hiyo ni mizaha ya kimfumo.

Hoja ya Mwisho: Mkutano Mkuu siyo mungu-mtu

👉 Kama mkutano mkuu unaweza kutangaza mtu kuwa mgombea bila kufuata mchakato wa ndani, basi chama hakina tena katiba – bali kina mapenzi ya viongozi.

👉 Hili ndilo lililofanyika kwa Samia – hakuchukua fomu, hakushindanishwa, hakuhojiwa – alipelekewa jina la “mgombea pekee” kwa staili ya kifalme, na wakaitwa wanachama wakashangilia tu kama tambiko la kichama.

"Unapodhani Mkutano Mkuu ni kama soko la samaki linaloweza kutangaza bei bila mizani, ujue uko mbali na demokrasia. Hata chombo cha juu lazima kitii katiba. Maamuzi bila utaratibu ni siasa za utumbo. CCM haikuanzishwa kwa maneno ya Kikwete bali kwa misingi ya haki, usawa na demokrasia. Ukiigeuza Katiba kuwa leso ya kufutia midomo ya vigogo, usilalamike taifa likihama kwenye demokrasia kwenda kwenye ‘demogodfather’.”
 
Tatizo lako mleta mada una uelewa mdogo na wenzio waunga mkono hoja yako humu.

Huelewi kitu Mkutano mkuu ndio kikao cha juu kabisa cha maamuzi.Ndicho CEO au Raisi wa CCM

Maamuzi yake ni makubwa waweza amua hata kuvunja kamati kuu au Halmashauri kuu ya CCM

Maamuzi yao sio lazima yayegemee vikao vya chini .Iwe Halmashauri kuu au kamati kuu au matawi.

Waweza kuja na agenda wenyewe bila kupokea mapendekezo toka kikao chochote cha chini

Wengine wanauliza Agenda ya kumpendekeza Samia kuwa mgombea ilitoka wapi? Ilitoka kwenye mengineyo
Kikao chochote huwa na agenda mbalimbali .Agenda mojawapo ni ya Mengineyo
Ndipo Kikwete akatoa pendekezo sio amri kuwa Samia awe Mgombea uraisi pekee Wa CCM. Mkutano mkuu ukaridhia ambacho ndicho kikao cha juu ambacho huridhia wagombea

Baada ya mkutano mkuu kuridhia hahitaji tena kujaza fomu .Kaombwa na mkutano mkuu hajajipendeleza.Kujaza fomu ni pale mtu anajipendekeza ili huko mbele mkutano mkuu uridhie.

Yeye kaombwa na mkutano mkuu ambao ndio chombo kikubwa cha mwisho kwenye maamuzi ya Chochote cha CCM.

mkutano mkuu Waweza ibuka na hoja zao mpya sio lazima wapelekewe na vikao vya chini au majina ya wagombea wapelekewe na vikao vya chini.Mkutano mkuu haauwajibiki kwa vikao vya chini iwe Halmashauri kuu au kamati kuu.Waweza fanya maamuzi mapya wenyewe.Na yako halali kikatiba na kisheria popote.Hata mtu aende mahakamani kupinga atashindwa

Hivyo vifomu vyako havimhusu mtu ambaye kaombwa na mkutano mkuu

Kikao cha juu kabisa kiliamua awe Samia wamemaliza kazi
Aisee
 
1. Katiba ya CCM – Ibara ya 100 (5)(b):

(b) Kuchagua jina moja la mwanachama atakayesimama katika uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania."
Ndicho walichofanya mkutano mkuu wamechagua jina moja limependekezwa la Samia na hapo hapo mkutanoni na wakachagua jina hilo hilo
 
Mkuu, kwanza elewa kuwa hata Mkutano Mkuu wa CCM hauko juu ya Katiba ya Chama, wala hauko juu ya kanuni, taratibu na demokrasia ya ndani ya chama. Ukiwa na uelewa sahihi wa katiba, hutapotosha watu kwa kujificha kwenye “kikao cha juu” kana kwamba huo ni uungu mtu. Hata Mkutano Mkuu UNAWAJIBIKA kuendesha shughuli zake kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya mwaka 1977 (Toleo la 2020).

1. Katiba ya CCM – Ibara ya 100 (5)(b):

(b) Kuchagua jina moja la mwanachama atakayesimama katika uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania."

👉 Hapa tafsiri ni wazi: Mkutano Mkuu hauteui kwa pendekezo la mtu mmoja (hata kama ni Kikwete). Unachagua jina MOJA kutoka miongoni mwa waliopendekezwa au walioomba kwa kufuata utaratibu wa ndani.

2. Ibara ya 6(7)(b) ya Katiba ya CCM:

👉 Samia kupitishwa bila mchakato wa kidemokrasia wa kuchukua fomu ni kuvunja ibara hii. Kama demokrasia ya kweli ndani ya chama inaruhusu mwanachama kugombea, ni lazima kuwe na mchakato wa wazi.

3. Ibara ya 107A(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977):

👉 Hii inaonyesha kuwa hata maamuzi ya chama, yakikandamiza haki za watu au kuvunja mchakato wa wazi wa demokrasia, yanaweza kupingwa kikatiba na kisheria.

Sasa kuhusu hiyo "Agenda ya Mengineyo" aliyotaja:

Huwezi kupitisha mgombea wa nafasi ya juu kabisa kwa "mengineyo" kana kwamba ni ajenda ya kubadilisha menu ya chakula. Katiba haifanyi utani. "Mengineyo" ni ajenda ya dharura au nyepesi – siyo ya kumtangaza mgombea wa urais wa taifa. Hiyo ni mizaha ya kimfumo.

Hoja ya Mwisho: Mkutano Mkuu siyo mungu-mtu

👉 Kama mkutano mkuu unaweza kutangaza mtu kuwa mgombea bila kufuata mchakato wa ndani, basi chama hakina tena katiba – bali kina mapenzi ya viongozi.

👉 Hili ndilo lililofanyika kwa Samia – hakuchukua fomu, hakushindanishwa, hakuhojiwa – alipelekewa jina la “mgombea pekee” kwa staili ya kifalme, na wakaitwa wanachama wakashangilia tu kama tambiko la kichama.

"Unapodhani Mkutano Mkuu ni kama soko la samaki linaloweza kutangaza bei bila mizani, ujue uko mbali na demokrasia. Hata chombo cha juu lazima kitii katiba. Maamuzi bila utaratibu ni siasa za utumbo. CCM haikuanzishwa kwa maneno ya Kikwete bali kwa misingi ya haki, usawa na demokrasia. Ukiigeuza Katiba kuwa leso ya kufutia midomo ya vigogo, usilalamike taifa likihama kwenye demokrasia kwenda kwenye ‘demogodfather’.”
Umeeleza mengi kifupi kukusaidia labda wewe na wenzio siku zijazo muombe katiba ya CCM iliyopo ibadilishwe kuwa mkutano mkuu iwe lazima ufuate mapendekezo ya Chini.Hii ya katiba ya sasa haina hicho kipengele cha kulazimisha Mkutano mkuu.

kwa sasa mkutano mkuu ndio final say na maamuzi yake ni ya mwisho
 
Ndicho walichofanya mkutano mkuu wamechagua jina moja limependekezwa la Samia na hapo hapo mkutanoni na wakachagua jina hilo hilo
Hivi unajua hata maana ya ‘chaguzi huru na haki’ au ulizaliwa kwenye kura ya ndiyo mzee?🤣🤣🤣

Mzee Molel hakufukuzwa kwa kupinga chama, alifukuzwa kwa kuthubutu kutumia ubongo kwenye chama ambacho akili ni dhambi. CCM imegeuka jumba la kukubali kila kinachotoka juu kama agizo la mungu—na wewe chawa mkubwa, unatetemeka kuhoji hata kivuli cha uongo!

Acha kusafisha vyombo vya mabwana zako, soma katiba, tafakari, halafu urudi na hoja zenye akili si maneno ya kubebwa kama mzigo wa maiti!🤣🤣🤣
 
Umeeleza mengi kifupi kukusaidia labda wewe na wenzio siku zijazo muombe katiba ya CCM iliyopo ibadilishwe kuwa mkutano mkuu iwe lazima ufuate mapendekezo ya Chini.Hii ya sasa haina hicho kipengele cha kulazimisha Mkutano mkuu.

kwa sasa mkutano mkuu ndio final say na maamuzi yake ni ya mwisho
Hoja hauna Mkuu 🤣🤣🤣
 
Hivi unajua hata maana ya ‘chaguzi huru na haki’ au ulizaliwa kwenye kura ya ndiyo mzee?🤣🤣🤣
Kura ziko aina nyingi CCM hata Chadema hata bungeni nk kuna kura za kuandika na za kutamka kusema ndiyo au hapana

Mkutano mkuu ukitumia kura kusema ndiyoooo kwa Samia
 
Rudi kajifunze au baki na ujinga wako akilini mwako. Usiwe unauanika hadharani humu.

Huwa tunasoma amelaaniwa mtu yule anayejipendekeza. Mungu kakupa akili ya kutambua lililo sahihi na lisilo sahihi. Hata kama ni MWANACCM kuna mambo mengine sio ya kuyatetea. Hoja zangu umeshindwa kuzijibu.

Mkuu kuwa huru kimawazo kuliko kuwa mfungwa wa kifikra halafu unakuja humu unatuandikia utoto as if tuna tegemea hisani ya watu fulani tuendeshe maisha yetu.
 
Katiba ya CCM au ya nchi ukisoma unatakiwa uwe msomi ambaye ulisoma kuelewa sio kukariri upate marks na ka degree au ka certificate

Ndio maana uelewa wako mdogo
 
Haramu sawa ila kwa ccm uwa wanajitoa fyuuzi kwenye jambo lao, watampamba huyu kama ameshuka leo kutoka mbinguni
 
Mkutano mkuu wa CCM unayo mamlaka na wajibu wa kuanzisha,kuondoa na kufanya maamuzi kuhusu jambo lolote.
Hata yale yanayovunja katiba ya nchi? Kama ndivyo mkutano mkuu wa ccm upo juu ya katiba ya nchi? Hacheni porojo kwenye mambo ya msingi.
 
Katiba ya CCM au ya nchi ukisoma unatakiwa uwe msomi ambaye ulisoma kuelewa sio kukariri upate marks na ka degree au ka certificate

Ndio maana uelewa wako mdogo
Unapodhani Mkutano Mkuu ni kama soko la samaki linaloweza kutangaza bei bila mizani, ujue uko mbali na demokrasia. Hata chombo cha juu lazima kitii katiba. Maamuzi bila utaratibu ni siasa za utumbo. CCM haikuanzishwa kwa maneno ya Kikwete bali kwa misingi ya haki, usawa na demokrasia. Ukiigeuza Katiba kuwa leso ya kufutia midomo ya vigogo, usilalamike taifa likihama kwenye demokrasia kwenda kwenye ‘demogodfather’.”
 
Back
Top Bottom