Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 8,246
- 12,789
"....huwezi kukwepa Wahuni kwa kufanya uhuni, Wahuni inabidi ukabiliane nao wazi wazi...." Balozi H. PolepolePolepole: Na ninyi mliopitishwa na wahuni (kihuni), Oneni AIBU basi.
"....huwezi kukwepa Wahuni kwa kufanya uhuni, Wahuni inabidi ukabiliane nao wazi wazi...." Balozi H. PolepolePolepole: Na ninyi mliopitishwa na wahuni (kihuni), Oneni AIBU basi.
Mkutano mkuu wa CCM unayo mamlaka na wajibu wa kuanzisha,kuondoa na kufanya maamuzi kuhusu jambo lolote.
Hakuna aliye halali mbele ya macho ya watanzania NO REFORMS NO ELECTION NDIO DAWA PEKEE MENGINE NI UONGO.Kwa kipimo chochote kitakachotumika, huyu ni mgombea haramu kwa mujibu wa katiba ya chama chake kwa sababu uteuzi wake ulifanywa na wahuni waliopangwa ndani ya chama.
Huyu ni mgombea haramu kwa katiba ya nchi inayotamka wazi kuwa wagombea wa nafasi ya Urais watateuliwa na vyama vyao baada ya kuvunjwa kwa Bunge.
Huyu ni mgombea haramu kwa sheria inayozuia utoaji rushwa kwa wapiga kura. Huyu mtu akiwa tayari amejirangaza kuwa ni mgombea, ameendelea kugawa rushwa nchi nzima kwa wapiga kura.
Hata kama atalazimisha kwa kutumia dola, lakini hilo halitaondoa uharamu wake kwenye nafasi hiyo kwa sababu njia yake ya kufikia nafasi hiyo imejaa uharamu mtupu. Kilicho haramu kwa nchi, ni adui kwa taifa zima.
Chama kina nafasi ya kuondoa kumbukumbu hii mbaya katika historia yake, kwamba iliwahi kuwapelekea wapiga kura mgombea ambaye alidharau na kukiuka taratibu zote ndani ta chama na nchi kwa ujumla kwa usaidizi wa wahuni wachache.
MODERATOR, naomba urekebishe Heading isomeke:
Rais Samia Atambue Kuwa Aliyepitia Njia ....
Wana CCM hatulalamiki ila wavimba macho ndio kutwa kucha kupiga kelele. Si mahakama zipo? Nendeni mkamzuia kama mna hoja na sio kila siku kutupigia kelele.Kwa kipimo chochote kitakachotumika, huyu ni mgombea haramu kwa mujibu wa katiba ya chama chake kwa sababu uteuzi wake ulifanywa na wahuni waliopangwa ndani ya chama.
Huyu ni mgombea haramu kwa katiba ya nchi inayotamka wazi kuwa wagombea wa nafasi ya Urais watateuliwa na vyama vyao baada ya kuvunjwa kwa Bunge.
Huyu ni mgombea haramu kwa sheria inayozuia utoaji rushwa kwa wapiga kura. Huyu mtu akiwa tayari amejirangaza kuwa ni mgombea, ameendelea kugawa rushwa nchi nzima kwa wapiga kura.
Hata kama atalazimisha kwa kutumia dola, lakini hilo halitaondoa uharamu wake kwenye nafasi hiyo kwa sababu njia yake ya kufikia nafasi hiyo imejaa uharamu mtupu. Kilicho haramu kwa nchi, ni adui kwa taifa zima.
Chama kina nafasi ya kuondoa kumbukumbu hii mbaya katika historia yake, kwamba iliwahi kuwapelekea wapiga kura mgombea ambaye alidharau na kukiuka taratibu zote ndani ta chama na nchi kwa ujumla kwa usaidizi wa wahuni wachache.
MODERATOR, naomba urekebishe Heading isomeke:
Rais Samia Atambue Kuwa Aliyepitia Njia ....
Sasa mimi na wewe nani muongo ndugu,tatizo ni kutumia hisia kuliko usahihi. Katiba ya CCM unaijua lakini? Wakati mwingine ni vizuri kuficha mihemko... Katiba ya nchi inasema kupendekeza wagombea ila aijasema kua chama cha Siasa akitapendekeza mwanachama kama Bunge alijavunjwa. Lakini pia,katiba na utamaduni wa CCM nikua mgombea atoshindanishwa pale atakapokua anatafuta next term ILI LIWEKE AKILINISiyo kweli, umesema uwongo. Mkutano mkuu upo kwa mujibu wa katiba, na hauna mamlaka ya kukiuka katiba. Mamlaka ya mkutano mkuu yanaishia kuidhinisha mapendekezo ya mabadiliko ya katiba ya chama yanayokuwa yameletwa na Halmashauri Kuu ya chama. Lakini hauna uwezo wa kuandaa mapendekezo ya mabadiliko ya katiba, halafu tena uidhinishe mapendekezo hayo. Na kamwe mkutano mkuu hauna mamlaka ya kufanya chochote nje ya katiba ya chama, katiba ya nchi au sheria za nchi.
Katiba ya nchi imesema wagombea wa urais nasio wagombea kupitia vyama.. Someni katiba vizuri.Hata yale yanayovunja katiba ya nchi? Kama ndivyo mkutano mkuu wa ccm upo juu ya katiba ya nchi? Hacheni porojo kwenye mambo ya msingi.
TouchableTatizo lako mleta mada una uelewa mdogo na wenzio waunga mkono hoja yako humu.
Huelewi kitu Mkutano mkuu ndio kikao cha juu kabisa cha maamuzi.Ndicho CEO au Raisi wa CCM
Maamuzi yake ni makubwa na ya mwisho waweza amua hata kuvunja kamati kuu au Halmashauri kuu ya CCM
Maamuzi yao sio lazima yayegemee vikao vya chini .Iwe Halmashauri kuu au kamati kuu au matawi.
Waweza kuja na agenda wenyewe bila kupokea mapendekezo toka kikao chochote cha chini
Wengine wanauliza Agenda ya kumpendekeza Samia kuwa mgombea ilitoka wapi? Ilitoka kwenye mengineyo
Kikao chochote huwa na agenda mbalimbali .Agenda mojawapo ni ya Mengineyo
Ndipo Kikwete akatoa pendekezo sio amri kuwa Samia awe Mgombea uraisi pekee Wa CCM. Mkutano mkuu ukaridhia ambacho ndicho kikao cha juu ambacho huridhia wagombea
Baada ya mkutano mkuu kuridhia hahitaji tena kujaza fomu .Kaombwa na mkutano mkuu hajajipendeleza.Kujaza fomu ni pale mtu anajipendekeza ili huko mbele mkutano mkuu uridhie.
Yeye kaombwa na mkutano mkuu ambao ndio chombo kikubwa cha mwisho kwenye maamuzi ya Chochote cha CCM.
mkutano mkuu Waweza ibuka na hoja zao mpya sio lazima wapelekewe na vikao vya chini au majina ya wagombea wapelekewe na vikao vya chini.Mkutano mkuu haauwajibiki kwa vikao vya chini iwe Halmashauri kuu au kamati kuu.Waweza fanya maamuzi mapya wenyewe.Na yako halali kikatiba na kisheria popote.Hata mtu aende mahakamani kupinga atashindwa
Hivyo vifomu vyako havimhusu mtu ambaye kaombwa na mkutano mkuu awe Raisi .mbunge au diwani
Kikao cha juu kabisa kiliamua awe Samia wamemaliza kazi
Duh,...uteuzi wake ulifanywa na wahuni waliopangwa ndani ya chama.
Hata kukiuka, kuvunja na kusigina Katiba ya nchi??Mkutano mkuu wa CCM unayo mamlaka na wajibu wa kuanzisha,kuondoa na kufanya maamuzi kuhusu jambo lolote.
Rubbish, akae pembeni yatosha
Tunaweza kukumbushana ni ibara ipi ya katiba imevunjwa Res judicataHata kukiuka, kuvunja na kusigina Katiba ya nchi??
Weka kifungu sio maneno matupu tusomeMkutano mkuu wa CCM unayo mamlaka na wajibu wa kuanzisha,kuondoa na kufanya maamuzi kuhusu jambo lolote.
Mna kazi nzito sana kuweza kuupinga uwezo wa kazi anazofanya Samia nchi nzima.Kwa kipimo chochote kitakachotumika, huyu ni mgombea haramu kwa mujibu wa katiba ya chama chake kwa sababu uteuzi wake ulifanywa na wahuni waliopangwa ndani ya chama.