SAMIA: Aliyepitia Njia Haramu, Haiwezekani Awe Halali

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
6,561
Reaction score
15,202
Kwa kipimo chochote kitakachotumika, huyu ni mgombea haramu kwa mujibu wa katiba ya chama chake kwa sababu uteuzi wake ulifanywa na wahuni waliopangwa ndani ya chama.

Huyu ni mgombea haramu kwa katiba ya nchi inayotamka wazi kuwa wagombea wa nafasi ya Urais watateuliwa na vyama vyao baada ya kuvunjwa kwa Bunge.

Huyu ni mgombea haramu kwa sheria inayozuia utoaji rushwa kwa wapiga kura. Huyu mtu akiwa tayari amejirangaza kuwa ni mgombea, ameendelea kugawa rushwa nchi nzima kwa wapiga kura.

Hata kama atalazimisha kwa kutumia dola, lakini hilo halitaondoa uharamu wake kwenye nafasi hiyo kwa sababu njia yake ya kufikia nafasi hiyo imejaa uharamu mtupu. Kilicho haramu kwa nchi, ni adui kwa taifa zima.

Chama kina nafasi ya kuondoa kumbukumbu hii mbaya katika historia yake, kwamba iliwahi kuwapelekea wapiga kura mgombea ambaye alidharau na kukiuka taratibu zote ndani ta chama na nchi kwa ujumla kwa usaidizi wa wahuni wachache.

MODERATOR, naomba urekebishe Heading isomeke:
Rais Samia Atambue Kuwa Aliyepitia Njia ....
 
Ni kweli kabisa kitokanacho na haramu ni haramu pia.
 
Mkutano mkuu wa CCM unayo mamlaka na wajibu wa kuanzisha,kuondoa na kufanya maamuzi kuhusu jambo lolote.
 
Ni haramu na hakubaliki. Lakini msimwambie kama namimi simkubali sawa?
ni muhimu kueleza hoja hizo kwa ushahidi wa wazi na kwa njia ya kisheria badala ya lugha ya matusi au kejeli. Tofauti za kisiasa zinapaswa kuwasilishwa kwa nidhamu, ili kulinda heshima ya mjadala wa umma na misingi ya demokrasia.
 
Kimsingi CCM inatakiwa ipumzike, tunahitaji mawazo mbadala. Kuwa na watu hao hao kwa miaka 45+ na ile ya TANU kunafanya tutengeneze genge la wachumia tumbo na wezi wa mali za umma.

We need change!
 
Wapiga kelele ,majungu na taarabu wakati watu wanapeta ..Angalia jinsia yako ,kama unataka maendeleo pambania familia yako.
 
Ameikanyaga, ameidharau na kuinajisi katiba ya CCM na katiba ya Tanzania.

Amedharau wana-CCM na Watanzania wote kwa kujipitisha kibabe bila kufuata katiba zote mbii, taratibu, misingi, tamaduni.

Kazi ya kwanza ya Rais ni kufuata na kuilinda katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yeye anafanya exactly opposite.
 
Back
Top Bottom