PostGE2025 Samia aligombea Urais ili iweje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mmebaki kukimbizana na machinga huku mafisadi wakiwachangia pesa kwa mabilioni na kodi hawalipi.
 
Nchimbi yuko wapi?
 
Kumfurahisha Kikwete na wanamtandao
 
kwahiyo hujaoga na hujanywa maji toka 17 machi 2021?
Tunaoga kwa wiki mara moja huku wakati wa Magu maji yanatoka Nyumba muda wote mpaka raha, lakini kipindi cha huyu Watanganyika tunateseka Bill inakuja elf 30 na wakati huduma ya kupata maji kwa mwezi tumepata maji mara 3, Wakati wa Magufuli maji yanatoka mwezi mzima na Bill inakuja elfu 20.
 
Uchumi gani mkuu kama maji tu ya kutumia Majumbani hayatoki, baada ya Magufuli kufa huduma zote za kijamii ziimekufa
nenda kwenye mamlaka
Hiyo inaitwa koma mbwembwe zote kwisha! Polepole yuko wapi? Ukiona huwezi kujibu maswali hayo basi nawewe chawa haupo salama amini nakwambia
nipo salama asilimia 100 naenda popote ktk nchi hii, polepole statement yake ya mwisho alisema yupo cuba hajalipwa hela za kurudi tz, labda ww utwambie alikwambia yuko wapi?
 
na sisi wakati huu maji yanatoka kila siku na bill inakuja kwa kadri tunavyotumia maisha mazuri, kama wakati wa magu maisha yalikuwa mazuri kwann walimkataa na kwann alivyokufa walikunywa bia na nyama choma na kwann walikuwa wanamtukana?
 
Wananchi hawajawai kumkataa Magu ndiyo maana alikua anawatembele kila kona ya nchi na kupata nafasi ya kuongea nao na kutatua changamoto zao, Magu hakuwaogopa Wananchi wake na hajawahi kujifungia ndani kuogopa Wananchi waliompigia kura za Kishindo.
 
Kwahiyo shida za nchi hii ziliisha tarehe 17.3.2021? kulikuwa hakuna masikini, kulikuwa hakuna barabara mbovu, watanzania wote walikuwa wana umeme, watanzania wote walikuwa na maji safi na salama kipindi cha magu? magu alikuwa hajui uongozi ndio maana alikuwa anakwenda na hakuna kilichofanyika samia anatuma wasaidizi wake unaona kazi ya mwigulu, makamo na mawaziri? magu kaacha bwawa la nyerere asilimia 33 katika miaka 5 lkn samia miaka 3 kamalizia asilimia 100 what a performance!!!!!!! magu alizuia watumishi kupanda madaraja na hakuongeza increment ni unyama wa ahli ya juu sana angalia asa hivi nchi imefunguka watu wananeemeka kila kukicha, magu alifanya maisha kuwa magumu sana imagine mtumishi amekaa miaka 7 hajapandishwa cheo ni unyama sana Mungu ametusaidia watanzania, tena amagu alikuwa anajisfia kipindi chake kuwa vyma vitakaza.
 
Heche anakutoa roho sana. Linda mgongo wako
 
Uchumi gani mkuu kama maji tu ya kutumia Majumbani hayatoki, baada ya Magufuli kufa huduma zote za kijamii ziimekufa
Wapi huko maji hayatoki? Mbona huku kwetu tunamwagilia mbogamboga? Na huyo Magufuli kipindi chake mbona mlimtukana?
 
HIVI NI WAKATI GANI WATANZANIA TULIKUWA TUNAIMBA WIMBO WA VYUMA VIMEKAZA? SABABU ILIKUWA NINI?
 
HIVI NI WAKATI GANI WATANZANIA TULIKUWA TUNAIMBA WIMBO WA VYUMA VIMEKAZA? SABABU ILIKUWA NINI?
wakikujibu nakupa 10,000/= ya vocha

Wapi vimelegea.kwa mafisadi siyo ? life bado so taff na limeongezeka

1. Magufuli kaacha petrol 1900 Samia 4000
2. Mchele 1600 Samia 3200
4. Nauli daladala 500 Samia 800
5. Sabuni 300 samia 700
6. cement 16000 samia.25000
7. Nondo 17000.Samia 24000
8. Toto afya kadi 54000 Samia 192000.
9. Nauli.za mabasi 70000 Samia 120000.
10 Tanzania ilifika uchumi wa kati.Samia kashusha hadi 0

Acheni ujinga wenu SAMIA ni wakala wa Mafisadi
 
mwaka 2021 petrol ilikuwa 1900???????????????????????

kama ni hivyo hizo bei anzia kwa mwinyi kama kweli wewe sio mnafiki.

Magufuli aliharibu uchumi wa hii nchi uzalishaji kulikuwa hamna na hela haikuwa inazunguka mpaka watu walimmis kikwete, magufuli alizuia kuwapandishia mishahara watumishi wa umma je nao mafisadi? sasa nchi imefunguka balaa nenda Tanga kaangalie bandari inavyopiga mzigo

Sasa hivi dunia inatuelewa sana ipu imefanyika tz, tumeshirikiana na russia na russia na usa wanafanya biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…