PostGE2025 Samia aligombea Urais ili iweje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
unajaua maana ya mipango na maendeleo lakini au unabwabwaja tu
 
Ushaadh za siku, tuache unafki Sheakh kwa uwezo wa huyu mama tumepigwa parefu kama nchi!.
 
Hii ndo akili ya wanaoliangamiza Taifa na vijisababu hivi vya kipumbavu
 
Kikwete oyeee
 
Bwawa la Nyerere kutoka asilimia 33 hadi asilimia 100, sgr inafika Kigoma unasema nchi haiendi upo sawa kweli? au kwako ni lazima kuonesha chuki?
 
Kwani imekuwaje bwashee!
It is confusion!๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Kuna muda hadi kufiwa anafurahia ili siku ziende ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ yeye mwenyewe haelewi huku taarifa za habari haramu ya tbc zinaongelea dira dira sijui mara ooooh 2050 ni upuuuuzi pro max
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Swali fikirishi sana hili maana ukijibu tuu umetukana
 
Mpuuzi mbwa jike weye! saivi kuna mradi gani wa wamaana unaendelea kama sio kuwalazishwa TBC kusemea mabwawa na dira za 2050 feki zisizo na ukweli wowote! Nani mnadanganya kwa sasa kila mtu anaona mbilinge zenu aibu hamuoni!
 
Utakuwa upo kwenye siku zako siyo bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ