The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 8,566
- 20,368
Aisee hii ni maajabu sijaona raisi anayedharaulika kama huyu. Haheshimiwi na yeyote
The comedy sessionAisee hii ni maajabu sijaona raisi anayedharaulika kama huyu. Haheshimiwi na yeyote
View attachment 3511414
View attachment 3511416
Chifu KingaluWangesema hata kapata 12,000,000 ila 30+ hata shetani alikua anawashangaa, Sisi Waislam sio waongo hivi.
Chifu KingaluIla yule Mnyakyusa kajua kumtia chaka bibi wa watu, yaani kura 32m zihasabiwe kwa masaa 48? Bila internet wala umeme?
alafu rizi one anakwambia ikulu ya dar ilikuwa na musikitiIkulu yetu imenajisiwa kwa kuruhusu malaya kuikalia
😭😭😭
Hapana. Ndivyo kiuhalisia alivyo. Amefanya jambo la maana kujifichua tukamjua.Aisee hii ni maajabu sijaona raisi anayedharaulika kama huyu. Haheshimiwi na yeyote
View attachment 3511414
View attachment 3511416
sisitiza hata chadema walimpa kulaWangesema hata kapata 12,000,000 ila 30+ hata shetani alikua anawashangaa, Sisi Waislam sio waongo hivi.