Samatta Usikate Tamaa, Wewe ni Wa Kimataifa Kweli!!

hv kocha sub ya ulimwengu hakuiona tangu mwanzo kweli? yaani ni ujinga ujinga tu
Ulimwengu katukaba sana, sikuona alichokifanya uwanjani.
Kocha naye kamuacha muda mrefu bila kumsabu.
Mbaraka angeanza mechi ya leo tungeshinda. au Ajibu.
Maamuzi ya kocha wa taifa yanafanana na ya kocha wa timu ya Simba. Amog.
Hawaijui first eleven ya vikosi vyao.
 
Ebwan hawa mabwan wanakaba atari tena kwa kasi
Wabongo tumezingua yaan hata kutuliza mpira mguu nisheedah
 
Ni muda sasa kuacha kupoteza pesa kwa hii timu ya wakubwa hawa hapa ni mwisho wa uwezo wao hawaezi fika popote zaidi.
Kuendelea kugharamia hii timu ni upotevu tu wa pesa, ni heri TFF na wadau wa soka kuwekeza nguvu zao na akili kujenga timu za vijana wadogo kuanzia umri wa miaka 8 na kuendelea hata wale Serngeti boys wako vizuri mataifa kama Uganda- the cranes, Ghana wanafanya hivi na wanafanikiwa.
 
Duh, unaua! Si unajua hatuchagui wa kutuzaa na mahali pakuzaliwa?
ana option ya kuukana uraia wa hii nchi, mwanangu nlifanya makusud akazaliwa nje ya nchi na cjataka kabisa awe na uraia wa hii nchi ya laana
 
Hakuna tuendako kwa kocha huyu tuliyenae, in facts tutakuwa wa mwisho katika group hili, Tanzania tuna matatizo gani kichwani? salum namuyanga amecheza mechi zipi za kimataifa duniani hadi tumpatie team yetu? tunajifanya eti ohhh tunatakiwa tuwe na kocha wa ndani sijui ohhh uzalendo tunajidanganya, swala la kuwa na kocha wa ndani na tukafanya vizuri ni kwa nchi chache sana hapa Africa, pengine samatta akicheza katika league bora ulimwenguni akaacha soccer akirudi bongo ndo kidogo tunaweza kumfikilia kuwa kocha, kwa nini hatujiulizi kuwa kina "Benni McCarthy" ambae alicheza katika league za nje hadi kutwaa champions league na mourinho bado ni TV soccer analyzer (DSTV)to South Africa na hawampatii nafasi ya kuwa kocha? kuna mambo mengine DARASA ameshasema hayatakagi ujuaji, hili ndo shida la Tanzania, tuchukueni kocha wazuri kutoka nje tuacheni ujuaji, nimetaza mechi ya Taifa stars na harambee ya Kenya zote zina ujuaji ujuaji hakuna soccer wanalocheza, upuuzi tu, tujifunze walau kutoka Uganda ,the cranes, hawa ndo wanaocheza mpira wa kueleweka EAC. Hatujachelewa, tufukuzeni huyu kocha tulete foreigner haraka asimamie game ijayo, lasivyo hakuna jipya na tunapoteza muda tu hapa kusema tutaqualify hata tukicheza uwanjani 22 halafu team pinzani 9 hatuta qualify.
 
Mmh! pana magonjwa mengine waweza kumaliza hospital zote vipimo havioni ugonjwa kumbe?......
mimi ni shabiki wa taifa starz na timu ya uingereza (the three lions )
 
Nilishasemaga taifa stars ivunjwe ...hamna kitu ni kupotezeana muda.
Ni wa kimataifa kweli.samatta, cristiano ronaldo hua analia kabisa kama mtoto mdogo,,
lakin wabongo watatoka they dont care jion utamkuta samaki samaki
 
Nilidhani ni mimi tu ndie nilimuona samatta akiwa kakasirika jana,ki ukweli inauma sana,mtu aliyeniudhi sana ni ulimwengu yani jamaa ni hovyo sijapata ona lakini hakutolewa,kocha kihio
 
Back
Top Bottom