hatari hukoKijana wetu katupia goal lake la kwanza, naona anaimbwa na wakoloni uwanjani
View attachment 1343625
Hahahahaha.. eti anaimbwa na wakoloniKijana wetu katupia goal lake la kwanza, naona anaimbwa na wakoloni uwanjani
View attachment 1343625
Utapata Tabu Sana
Amen.Mungu amfanikishe Samatta, afike mbali zaidi.
umemsikia wakati anahojiwa anasema amefunga kwa nguvu za makonda.
Hapana chadomo huyo wewe huoni hata alama za nyakati na tamathali za semi alizotumia..khaaaaa lugha ya matusi ni kugha ya watu gani..? Jiulize