Samatta na Clouds Fm

John Kombo

Member
May 15, 2013
31
16
Msaada, Hivi soka la tanzania linasimamiwa Clouds FM au TFF?

Nilidhani serikali na Tff ndiyo ingekuwa na dhamana ya kupromote na kumwandalia sherehe Samatta, au claude fm wameona fursa wanataka wapige mpuga kupitia Samatta?

Mana sasa hv hatusikii diamond wala ally kiba, wasije wakamtumia kama jaydee na wengine walivyotumika.
 
Last edited by a moderator:
Tff na serikali imelala usingizi wa pono
Wacha wajanja wa mjini wapige mpunga
 
Msaada
Hivi soka la tanzania linasimamiwa claude fm au Tff?
Nilidhani serikali na Tff ndiyo ingekuwa na dhamana ya kupromote na kumwandalia sherehe Samatta, au claude fm wameona fursa wanataka wapige mpuga kupitia Samatta?
Mana sasa hv hatusikii diamond wala ally kiba, wasije wakamtumia kama jaydee na wengine walivyotumika.

Sasa Mnadhani Shafii Dauda Atarudishaje Pesa Zake Za Nauli Alizozitumia Kwenda Nae Huko Abuja Nigeria? Hivi Mmesahau Kuwa Shafii Dauda Ni Mfanyakazi Wa Clouds Media Group Tena Akiwa Ndiyo Mkuu Wa Kitengo Cha MICHEZO Halafu Msisahau Kuwa Dauda Na Mbwana Hawajakutana Jana Wala Leo Bali Ni Washikaji Tokea Kitambo Hivyo Imekuwa Rahisi Mno Kwa Shafii Kufanya Lobbying Kwa Samata Kwa Faida Yake Binafsi Na Kwa Faida Pia Ya Mwajiri Wake Clouds Media Group.

Kuna Watu Sasa Kupitia Mbwana Samata Watayapeleka Magari Yao Yaliyokwama Kwa Fundi, Watamalizia Mabati Ktk Nyumba Zao, Kulipa Madeni Na Hata Kuwasomesha Watoto Wao.

Kifupi Ni Kwamba Mbwana Samata Kawaanzishia Watu Mwaka 2016 Vizuri Sana ILA Anatakiwa Awe Makini Mno Kwani Hii Ndiyo TANZANIA au Bongo Land.
 
Last edited by a moderator:
TFF ipo sasa au ishajifia! Si bora hao clauds wameona wafanye kitu cha kumfanya Samata ajihisi ana watu wanampenda bila clouds kufanya hivyo TFF ungesikia malinzi katoa pongezi kwenye magazeti na mchezo umeishia hapo
 
Naombeni mnisaidie kitu,hivi Samatta kalamba sh'ngapi au ni tuzo tu isiyo na chochote ??????
 
Msaada
Hivi soka la tanzania linasimamiwa claude fm au Tff?
Nilidhani serikali na Tff ndiyo ingekuwa na dhamana ya kupromote na kumwandalia sherehe Samatta, au claude fm wameona fursa wanataka wapige mpuga kupitia Samatta?
Mana sasa hv hatusikii diamond wala ally kiba, wasije wakamtumia kama jaydee na wengine walivyotumika.

mbona TFF walimpeleka mwakilishi wake? pia fursa hutumiwa na wenye kuihitaji
 
Clouds wanawatumia binadamu kama furusa.Ni watu hatari sana
 
Msaada, Hivi soka la tanzania linasimamiwa Clouds FM au TFF?

Nilidhani serikali na Tff ndiyo ingekuwa na dhamana ya kupromote na kumwandalia sherehe Samatta, au claude fm wameona fursa wanataka wapige mpuga kupitia Samatta?

Mana sasa hv hatusikii diamond wala ally kiba, wasije wakamtumia kama jaydee na wengine walivyotumika.
hata na wewe ukitaka nenda kamfanyie sherehe ushindi wa samatta sio wa ruge wala wa malinzi ni wa watanzania wote
 
Back
Top Bottom