ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Messi wa Barca si yule wa Argentina national team
Nilichogundua Wewe ni hater tu huna ushauri wowote wa kujenga,kuibiwa kwa samatta??!!!
Tuanzie hapa kwanzaLabda akacheze championship,
LukakuNitajie streka ambaye angalau samagoal anamfikia pale EPL.. Anza na timu za chini kabisa maana kwa top 10 hakuna hata mmoja
Kusema kwamba wanawake ni wale wale hiyo ni Old think(primitive thinking).
Kuwa na uwezo wa kifedha sio equivalence ya kuwa na akili nyingi kwa sababu upatikanaji wa hela upo wa aina nyingi. Kwa mfano.
1. Kurithi
2. Kazi yenye maslahi mazuri
3. Zawadi na motisha mbalimbali
4. Wizi
5. Ufisadi
6. Rushwa
7. Dhulma, hizo ni baadhi kati ya nyingi
Kusema kwamba wanawake ni wale wale hiyo ni Old think(primitive thinking).
Kuwa na uwezo wa kifedha sio equivalence ya kuwa na akili nyingi kwa sababu upatikanaji wa hela upo wa aina nyingi. Kwa mfano.
1. Kurithi
2. Kazi yenye maslahi mazuri
3. Zawadi na motisha mbalimbali
4. Wizi
5. Ufisadi
6. Rushwa
7. Dhulma, hizo ni baadhi kati ya nyingi

. EPL pale kuna watu samatta hawezi hata kufunga kamba za viatu vyao mfano Artunovic ila bado hawana majina bado EPL. Sammata mchezaji mzuri ila siyo star kama tunavyosema nchi yetu watu wanaongea sana. Olunga yule mkenya aletupiga magoli angekuwa Mtanzania watu tungeongea sana ila mkenya so wakawaida.Kaka damu za watu aliowauwaaa sio poa eti!!!kitendo cha bashite kuwa karibu na timu ya taifa ni kama kahamishia gundu lake kwa wachezaji.
nyota ya samatta licha ya kuwa mmoja ya wafungaji bora wa league ya ubelgiji msimu uliopita ni kama imeshafifia.
Yeye ajui ata kurusha mpiraWw nitajie hao waliompita...toa top 6
Kuna ligi ngumu kushinda ya bongo yetuMbongo kwa ubishi! Samatta ni mchezaji wa kawaida. Huwezi kumweka kwenye lile kundi la wachezaji wa kiwango cha juu! Na ndiyo maana bado yupo Ubelgiji mpaka sasa na hajapata timu kwenye zile nchi zenye ligi ngumu na nzuri
Haya mzee; kawaeleze AVFC kama wamefanya makosa.Labda akacheze championship,