Samani za majumbani, na ofisini

Samani za majumbani, na ofisini

Inawezekana kweli hujawahi kukutana na vitu kama hivyo, njoo ujionee mwenyewe utakubaliana na hiyo bei
Mdf milango miwili laki 6 hapana asante

Rubiikimimi
 
Nilishayaona, lakin nlivoona post yako ya sambusa n nyama kuhusiana n kabat tulizoziona... Then nkajaribu kucompare io avatar n post uloitoa nkapata jibu kuwa haviendan kbsa.... Ndo nkakuuliza io avatar kam ni real ww

Sent using Jamii Forums mobile app
Sambusa zanyama zikijaza 2doors za kabati basi bei ya laki6 itakua sahihi

Rubiikimimi
 
We mleta mada itakua ulidanganywa kuhusu jamiiforums, uliambiwa members wote ni millionaires ndo maana unakuja na bei za ajabu ajabu.
We maisha ya kibongo ninunue kitanda laki 9? Au hujui bidhaa zako unamlenga mteja gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mleta mada itakua ulidanganywa kuhusu jamiiforums, uliambiwa members wote ni millionaires ndo maana unakuja na bei za ajabu ajabu.
We maisha ya kibongo ninunue kitanda laki 9? Au hujui bidhaa zako unamlenga mteja gani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mfanya biashara haogopi audience wewe, kama huna hela piga kimya, unafikiri biashara nimeanza leo? Umeambiwa huku jf wote mko sawa? Kuna watu wana hela hawajui vitu vizuri wanavipata wapi!! Mimi natangaza, una hela nunua, huna kausha!!
 
Ndo samani za kuuzwa bei hiyo sasa?
Kua serious mkuu

......
 
2014-04-26 17.10.01.jpg

Hiki kitanda na sides zake Shs. ngapi?
 
Back
Top Bottom