Samaki wa mapambo bei nafuu na elimu yake bure rahisi sana

Jamaa umenikumbusha mbali saana!! enzi tuna kata vioo kwa moto na malailoni ili tutengeneze gleram za vioo na siment!!

nimefuga saana samaki na umenishawishi nianze tena!!

Ebu niambi laki 1 itatosha kweram na na samaki wangapi wa kuanzia aina tofauti, ila Red na Zebra wasikose!!

Vipi msosi wao bado ni biscuit na kiini cha yai au Now mpo ki sasa zaidi???
 
sasa ni kiprofesional zaidi kwelamu inakatwa na almasi
chakula special
laki itatosha aina kumi na kwelamu ya elfu 35 ndani ya hio laki itakua na ukubwa wa cm 60
 
Yani lazima nimchukulie dogo langu.. nilinunua pale mataa ubungo kufika home wote wakafa. Ila vipi mkuu mimi bado umeme sijavuta wanaweza kuishi bila ya taa? Sina uzoefu nao
 
Yani lazima nimchukulie dogo langu.. nilinunua pale mataa ubungo kufika home wote wakafa. Ila vipi mkuu mimi bado umeme sijavuta wanaweza kuishi bila ya taa? Sina uzoefu nao

mkuu hi kitu mi inanikera sana sababu nimeaanza kufuga toka 95 mpaka leo wale wa ubungo na sehem zingine sio aquribium yaani sio fresh water ni samaki wa maji chumvi lakini hawa ni special kwa maji ya kawaida kabisa ya nyumbani utakaa nae hadi miaka nane na hapo kati atakua ameshazaa sana tu ni wazuri trust me na nitakua nakushauri kila mda ukiniitaji
 
taa sio lazima mkuu wala pampu sio lazima mkuu hawa ni imara sana sana mkuu
 
Hongera mkuu, ntakutafuta tu boss

Ngoja kwanza nikamilishe kitu fulani hivi
 
Nimewaona mara nyingi mahali lakini sifahamu wanatolewa wapi..........Ni baharini, ziwani au mitoni.
Halafu mkuu wanapozaliana hakuna option ya kuwala? :) :)

hawa asili yao ni ulaya kwenye maji baridi yaani sio ya chumvi na wapo wanaozaa na wapo wanaotaga kuwala ni jukumu lako kama utapenda but ni vigumu kujua ladha yao kwanza utakula wangapi ili ushibe na haipendezi kuwala they are soft itakua ni unyama hawa ni urembo na wapole sana
 
nina aina 12 mpaka sasa za samaki zilizopo sokoni kuna samaki hadi wa sh 5000 kwa mke na mume
 
Back
Top Bottom