Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,184
- 671
Saidia...Magufuli Pombe kasema nini juu ya hao samaki hadi hawa jamaa waongee hivyo...??waziri Hamza wa zanzibar leo kwenye Tv anasema zanzibar inastahili ipewe share ya 40% kwa sababu sheria inasema hivyo.
jee huu ni mgogoro mwengine ktk muungano?
jamaa anasema waziri magufuli alikuwa anatakiwakae na mwenziwe kabla ya kuamua lkn katumia ubabe kwa hio wao watakaa na waangalie cha kufanya
Hawa jamaa wala siwaelewi....... yaani wao kulalama tuuu....... hiyo storage charge hawaizungumzii kabisaaaa.....!!!!! Mafuta wanataka 100%Vipi wasiombe kulipia 40% ya storage charges!? Wazanzibari bwana!
Omba Mungu Muungano udumumu ili muendelee kunufaika na vya Bahari Kuu lakini ukivunjika leo tunarudisha mipaka-Please ielewe mipaka ya Tanganyika yako katika Bahari ya Hindi!!!!! Watu wanachojivunia ni Tanzania na siyo Tanganyika na Tanzania haiwezi kuwepo bila nchi Zanzibar. Hivi hujafahamu tu wale wa Maandalizi (Nursery)wanafahamu hivyo.Wazanzibari bwana, chao kinakuwa chao wenyewe wala hawatushirikishi, lakini chetu wanataka asilimia 40? Zanzibar kuna watu wasiozidi milioni moja, bara tuna watu milioni 40 halafu watake asilimia 40? Hivi hawa siyo wachawi kweli?
Ninachojua mimi ni kwamba watanzania wote walitangaziwa kuomba hao samaki iwapo wanawahitaji, sasa wenyewe hawakuomba, wanataka wapelekewe? Wao ni akina nani hadi tuwabembeleze hivyo? Sometimes huu muungano ni kero tupu. Uvunjike tu wala hautusaidii. Nichagueni mimi niwe Rais ili niuvunjilie mbali huo muungano.
waziri Hamza wa zanzibar leo kwenye Tv anasema zanzibar inastahili ipewe share ya 40% kwa sababu sheria inasema hivyo.
jee huu ni mgogoro mwengine ktk muungano?
jamaa anasema waziri magufuli alikuwa anatakiwakae na mwenziwe kabla ya kuamua lkn katumia ubabe kwa hio wao watakaa na waangalie cha kufanya
UNAWEZA KUTUSAIDIA KITU KIMOJA KAKA...!tunaomba wewe au INVISIBLE mui-upload sheria ya muungano hapa!...tunaweza jadili kwa hoja za msingimkuu Geoff hivi mtu kudai haki yake kisheria ni kosa ? jee ikiwa kweli ziko sheria ambazo zinatoa muongozo wa kuendesha mambo ya mungano na kuna kundi moja kwa ubabe linafanya litakavyo kwa kujiona wao wana eneo kubwa la ardhi na watu wengi na kukiuka sheria liachwe? jee huu ndio utawala bora ?
kwa nn Tanganyika inavyoibinya Zanzibar hamsemi kitu? kuna mengi ambayo wazanzibar wamekula kobis ila sasa naona mambo yatakuwa mambo.
kwa muelekeo huu tutafika kwa haraka tunapopataka.
hewalla bwana imeisha zama zake, yakhe wankanyaga yakhe npisha npumue ipia imeisha zama zake.
sasa tunaenda inavyotaka Tanganyika. Tunataka watu waelewe Tanganyika sio Tanzania kama wengi walivyozoea
mimi nashauri wapewe samaki woote meli nzima kama watahitaji!binafsi wazenji nimeanza kuwachoka,because THEY ARE TOO DEMANDING
hata bado hamjawachoka, just wanabeep tu. ila wakipiga hapo lazima muamue kupokea au kuzima simu kabisa.
kwa kweli wazanzibari wanaona huu muundo unahitaji serious discussion sasa kila wanapopata nafasi hutuma hio message. ukweli zanzibar hawahitaji hao samaki na hasa walivyokuwa wamekaa kwenye mafriji muda wote huo. kwao samaki sio issue ndio mboga yao kuu, ila kwenye neno kuna neno tena nene