Samaki wa Foil

King’asti

Platinum Member
Nov 26, 2009
27,823
24,781
afrodenzi,asante.nimependa hiyo ya kutoa pilipili mbegu manae wengine hupaliwa. nice one.
natamani kupata ujuzi wa grilling zaidi. kwenye oven ya jiko la gas niliweka samaki wa foil ikawaka moto,na majiko ya siku hizi hayana sehemu maalum ya grill,nifanzeje?
 
duhhhh pole mwaya kwa kuunguza samaki

Nway kama unaongelea kitu kama BBQ hivi
tumia hiyo hiyo tin foil lakini zungushia kama mara nne tano hivi..
Binafsi kama nina BBQ napenda ku marinete nyama (over night) na ku BBQ
bila kufunika na chochote..

kuna tin foil nyingene za hovyo sana ... nakushauri nunua
tin foil Hat au tin foil Bowl (Hizi ni nzuri sana sababu waweza
weka samaki wako hapo kati kati ukaweka veges zako kwa
pembeni .. una ua ndege kumi kwa jiwe moja hahahaha lolz
especially kama una wageni )

Kingine kama una Oven .. waweza kutumia oven bags..
weka kama ni samaki wako au kuku etc mwangia seasoning
mbele kwa mbele ... Napenda oven bag sababu chakula hakiwi kikavu..
(chukua uma weka matobo juu ya oven bags kuachia ile air itoke kidogo
ili bag isiumuke sana) kweka kwenye tray safari ianze..

Tin foil & Oven bags ... nzuri sana sababu huchafui trey lako
wala Oven yako ...

sante baadaye :)
 
Cant believe it took me a year to do this. This menu is on tomorrow. Nadhani nakosea hapo kwenye kubania foil. Nazungusha mara moja tu. nitajaribu kuzungusha mara 4 nione itakavyokuwa.

Hiyo ya kuua ndege kadhaa kwa jiwe moja ndo yenyewe. Usije tunukaweka na unga wa ugali:loco:
ila karroti, hoho, giligilani, nyanya chungu, kabichi vyoote vinajuana humo

Barikiwa sana hadi ujishangae
 
duhhhh pole mwaya kwa kuunguza samaki

Nway kama unaongelea kitu kama BBQ hivi
tumia hiyo hiyo tin foil lakini zungushia kama mara nne tano hivi..
Binafsi kama nina BBQ napenda ku marinete nyama (over night) na ku BBQ
bila kufunika na chochote..

kuna tin foil nyingene za hovyo sana ... nakushauri nunua
tin foil Hat au tin foil Bowl (Hizi ni nzuri sana sababu waweza
weka samaki wako hapo kati kati ukaweka veges zako kwa
pembeni .. una ua ndege kumi kwa jiwe moja hahahaha lolz
especially kama una wageni )

Kingine kama una Oven .. waweza kutumia oven bags..
weka kama ni samaki wako au kuku etc mwangia seasoning
mbele kwa mbele ... Napenda oven bag sababu chakula hakiwi kikavu..
(chukua uma weka matobo juu ya oven bags kuachia ile air itoke kidogo
ili bag isiumuke sana) kweka kwenye tray safari ianze..

Tin foil & Oven bags ... nzuri sana sababu huchafui trey lako
wala Oven yako ...

sante baadaye :)
Ku grill ndio kwenyewe ni naangaliaga jamaa kwenye E channel ana kipindi kwa ajili ya ku grill tu,jamani hata nanasi nalo wanagrill,pia niliona kumarinete vizuri jamaa akichanganya herbs zake na vitoweo mbalimbali huweka kwenye mfuko wa nailoni na kuufunga halafu huweka kwenye friji vinakaa muda kwa kutegemea aina ya kitoweo ni rahisi sana,hata mimye siku hizi shakuwa mtaalamu ,muhimu kupata viungo na viungo vipo bwelele hapa bongo kama Kariakoo sokoni,kwenye Supermarket zetu nakadhalika,na ku grill sio lazima utumie jiko la gesi la bei mbaya hata ya mkaa yanatosha ,majiko kama hayo pale karibu na ubalozi wa Marekani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom