Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,779
- 13,704
Wakuu huyu ni samaki gani?
Minikajua ni msumeno....tehteehhNdio mara ya kwanza kumuona hapa kwenye picha
Dunia ina Viumbe wengi sana na wa kila aina.Minikajua ni msumeno....tehteehh
Analiwa mkuu??Dunia ina Viumbe wengi sana na wa kila aina.
Hata Mimi..Ndio mara ya kwanza kumuona hapa kwenye picha
Sijui mkuuAnaliwa mkuu??
Tena vya ajabu sana.Dunia ina Viumbe wengi sana na wa kila aina.
Tena hiki ni afadhaliTena vya ajabu sana.
Dunia ina Viumbe wengi sana na wa kila aina.
Analiwa, ule msumeno bei yake unanunua vitz wananunua wajapan unaongeza nguvu za kiume utafute.Analiwa mkuu??