Samaki Samaki na "Reserved tables"…

Tatizo unakuta kijana anavizia pisi kali inayohudumu hapo Samaki Samaki
 
Your spendings have NO IMPACT; that's why !!!
 
Mkuu hata wewe unaweza reserve meza yako mapema kabisa hata sio gharama kama mpo hata wa5 mna piga sim mnawekewa. Niko samaki samaki ya masaki upo wapi niko na pisi kali nikupe hata 1 jamaa yangu au utalalamika huna hela?[emoji28]
Tukutane hapo wiki ijayo, uje na hiyo pisi unataka kunipatia.
 
Tukiamua kuwaachia hao wenye pesa itakuwaje?
 
Umeanza vizuri ukamalizia vibaya.
 
Ukishakuwa na hela kila kitu unaweza fanya...

Hata dokta unaweza mreserve siku hiyo akuhudumie wewe na familia aachane na kutibu wagonjwa wa foleni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…