Samaki Samaki Mbezi Beach inaungua

Samaki Samaki Mbezi Beach inaungua

Billicanas, Maisha, San Siro, Dar Live, baa zote na kumbi za Starehe popote zilizo ziungue moto na kuteketeza vyote hata walio ndani yake. Watu hawapendi kukesha Ibadani ila kwenye starehe wanakesha.
 
katika fishX2 zote hii ya mbezi digital sikuifagi kivile..ila pole yake mmiliki!!
 
daaaa.. RIP samaki samaki.. tulikupenda, ila moto ulikupenda zaidi..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom