Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 684
WanajV
Kutoka mbezi beach hapa naona samaki samaki inaungua moto ni mkali
Nipo eneo la tukio ningewawekea picha lakini simu yangu ya mchina
Moto unawaka kuelekea Shekinah garden
Nitatuma picha soon
Kutoka mbezi beach hapa naona samaki samaki inaungua moto ni mkali
Nipo eneo la tukio ningewawekea picha lakini simu yangu ya mchina
Moto unawaka kuelekea Shekinah garden
Nitatuma picha soon
![]()
![]()
![]()
![]()
Askari wa Kikosi cha Zimamoto wakiendelea kuzima moto ulioteketeza baa ya Samaki Samaki iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Mwananchi akichukua baadhi ya matukio wakati moto ukiteketeza baa ya Samaki Samaki.
![]()
Mwananchi akichukua baadhi ya matukio wakati moto ukiteketeza baa ya Samaki Samaki.
![]()
Zimamoto wakitafakari jinsi ya kuzima moto huo.
![]()
Zimamoto wakizima moto katika gereji ya Xenco iliyopo jirani na baa iliyoteketea.
![]()
![]()
Wananchi wakishuhudia zoezi la uzimaji moto katika baa ya Samaki Samaki.