hawa wana njaa sana huoni wanakula mpaka mizoga
Inaonyesha huko Pemba watu wananjaa sana.
View attachment 187654
Wananchi wakikata minofu ya samaki
View attachment 187656
Wakiwa juu ya samaki
View attachment 187657
Sehemu ya minofu
View attachment 187655
Imetokea lini na sehemu gani pemba?
Nashindwa kushawishika.
Kuna point hapa
Mkuu Utafiti, kwanza asante kutuletea taarifa hii, ila details zako ni too minimal!.Imetokea juzi (jumapili) katika kisiwa cha Shamiani (ni moja kati ya visiwa vidogo vidogo vinavyozunguka Pemba
Mkuu Utafiti, kwanza asante kutuletea taarifa hii, ila details zako ni too minimal!.
Japo kuona ni kuamini, (seeing is believing!), I just don't believe this is true na kweli ni Pemba!.
Mkuu Utafiti, naomba source yako, na uthibitisho tuu wa aina yoyote kuwa this is true, na tukio hili limetokea Pemba!.
- Kwanza hizo picha zimepigwa na professional camera!, hivyo kuna picha za ziada zinazomuonyesha huyo samaki in a panoramic view, mleta mada ameziacha zingeonyesha hapo sio Pemba!.
- Wavuvi wa Pemba wanajulikana tang dress code yao, hap si wavuvi wa Pemba yetu hii!.
- Mleta mada hakutoa source, ili kujifanya kapiga yeye!.
- Hakuna maelezo ya attribution ya aina yoyote kwa quotation kutoka kwa yeyete kuhusu tukio hili!.
- Kwa ukubwa wa lijisamaki hili, kama kweli hili tukio ni la Pemba, by now ingekuwa big news!.
Asante.
Pasco.
Mkuu Pasco kwanza naomba uelewe kitu kimoja kidogo, Pemba ni tofauti na Dar au Arusha kwamba kila tukio kubwa na dogo utalikuta kwenye blogs au kitu kama hicho. Tukio kama hili SI mara kwanza kutokea Pemba, kama sikosei mwaka ilikua mwaka 2007 alionekana samaki kama huyu katika kijiji cha Pujini, kwaio unaposema unataka source ni ngumu sana zaidi ya kupata picha au sana sana ni radio ila sio web. Mimi nimetumiwa picha na mtu ALIESHUHUDIA
utafiti
Mkuu Utafiti, kwanza asante kutuletea taarifa hii, ila details zako ni too minimal!.
Japo kuona ni kuamini, (seeing is believing!), I just don't believe this is true na kweli ni Pemba!.
Mkuu Utafiti, naomba source yako, na uthibitisho tuu wa aina yoyote kuwa this is true, na tukio hili limetokea Pemba!.
- Kwanza hizo picha zimepigwa na professional camera!, hivyo kuna picha za ziada zinazomuonyesha huyo samaki in a panoramic view, mleta mada ameziacha zingeonyesha hapo sio Pemba!.
- Wavuvi wa Pemba wanajulikana tang dress code yao, hap si wavuvi wa Pemba yetu hii!.
- Mleta mada hakutoa source, ili kujifanya kapiga yeye!.
- Hakuna maelezo ya attribution ya aina yoyote kwa quotation kutoka kwa yeyete kuhusu tukio hili!.
- Kwa ukubwa wa lijisamaki hili, kama kweli hili tukio ni la Pemba, by now ingekuwa big news!.
Asante.
Pasco.
Mkuu Utafiti,Mkuu Pasco kwanza naomba uelewe kitu kimoja kidogo, Pemba ni tofauti na Dar au Arusha kwamba kila tukio kubwa na dogo utalikuta kwenye blogs au kitu kama hicho. Tukio kama hili SI mara kwanza kutokea Pemba, kama sikosei mwaka ilikua mwaka 2007 alionekana samaki kama huyu katika kijiji cha Pujini, kwaio unaposema unataka source ni ngumu sana zaidi ya kupata picha au sana sana ni radio ila sio web. Mimi nimetumiwa picha na mtu ALIESHUHUDIA
utafiti
Pasco siwezi kuamini samaki huyo (pichani) ndio mkubwa kuliko wote....unaweza kujiuliza swali dogo tu walishindwanishwa lini na wapi thn huyo akawa mshindi??Mkuu Utafiti,
Asante, hizo picha nimeziona blogs mbalimbali na zote zikiongelea hivyo hivyo Pemba, no any details toka kwa msemaji yoyote, no any attribution kutoka any authorities, no any testimonies toka kwa mvuvi yeyote aliyeshuhudia, just photos na ya samaki mkubwa Pemba!.
Ukiangalia picha za huyo samaki wa Pembe na kuzilinganisha na hizi picha za samaki mkubwa kuliko wote duniani, utakubaliana na mimi, huyu wa Pemba ni samaki mkubwa kuliko hata yule yule wa dunia, hivyo kama ni kweli hii ni Pemba, hii ingekuwa ni habari kubwa duniani by now!.
All and all, everything is possible, inawezekana tukio limetokea too remote area hivyo kukosa attention ya kutosha.
Thanks.
Pasco
Nimefanya mashindano kwenye google kwa kutumia picha tuu!, just search "the biggest fish in the world", zitakuja picha milioni, then shindanisha!.I
Pasco siwezi kuamini samaki huyo (pichani) ndio mkubwa kuliko wote....unaweza kujiuliza swali dogo tu walishindwanishwa lini na wapi thn huyo akawa mshindi??
Sisemi kua huyo aliepatikana Pemba ndio mkubwa zaidi hapana.....