mpaka awe mkubwa hivyo hajawa mgumu kama gogo la mbuyu ..? ni swali tu.
Imetokea lini na sehemu gani pemba?
Nashindwa kushawishika.
Waislamu toka lini wameanza kula vibudu.
Waislamu toka lini wameanza kula vibudu.
Sio nyangumi huyo
Sijajua jina lake ila nyangumi anajulikana kwa umbo lake