Samaki mchanga; Do you like it?

jaclive mwera

New Member
Aug 4, 2012
3
0
yap mnamind story za samaki mchanga? au una kula? if not korosho or ufuta? NAKUJA NAVYO TOKA LINDI (NIPOKEENIII" OK
 
Karibu Jf. kuhust chamaki nchanga,inategemea ntu na ntu!
 
Karibu sana, mimi sihitaji samaki nchanga ila ukifika Nangurukuru nichukulie wale samaki wa bahari, changu, pweza, ngisi, kibua au pono wanafaa.
 
Back
Top Bottom