Kibua supu inalika? Tangu juz natamani supu ya samakiDagaa tonge kwa tonge au dagaa la kuosha. Ukikosa hao basi hata vibua
Nimestaajabishwa kusoma michango yote kabla ya huu bila kumuona chewa, mpaka nimehisi labda wachangiaji waliotangulia si wenyeji wa mwambao, kwa sisi wenyeji wa pwani Ukiwa na pesa basi chewa na jodari haswaaa ndio samaki wa supu hao wengine ni kukosa pesa tu.Chewa