Samaki anaefanana meno na binadamu

Anaitwaje, Tafadhali mleta mada nijuze ili nimtafute habari zake
 
Kabla ya kumpika lazima umsukutulishe na mswaki kwanza.
 
Yupo wakuu... niliwahi kumsoma sehemu fulani. Saiv usingizi uko mlangoni, kesho nitatafuta link niwapeni...
 
mkuu wewe kama mimi aiss..huyo hata mchuzi wake sionji!!

Acha uongo utamjuaje? Wakati unaletewa na rosti iliyokolea nazi utajat..pika badaae ukiambiwa umekula nini waulize wale jamaa walionda mali wakajisevia mishkaki ya panya buku jinsi ilivyokuwa mitamu kuja kuuliza ni nyama ya nini kilichoendelea ni siri yao.
 
mmmh lakini kweli...nisiseme sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…