samaki Aina ya GOGO

Kuwapata hawa samaki kwa wingi ni maeneo yenye mito. Ukabda wa bonde la Kilombero ni wengi sana ukifika msimu wake. Wanajulikana kama ngogo
 
Gogogo, ningu, soga na nembe bado wapo wanapatikana. Mwaka jana tu nimewanunua sana Kisesa Mwanza!
 
Eeh kolokolo, Hao hata mimi nawajua, tulipoenda kikazi mkwajuni kule songwe. Wapo weengi ila nilionja watamu😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…