Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,087 Dec 26, 2011 #41 Tausi Mzalendo said: Rejao, Kafiri ni derogatory, Kakuita Muislam, kwani nalo ni jiba baya lisilopendwa? Click to expand... Kafanya vibaya kuona hawezi kufananishwa nami kutokana na imani yangu. Nimejaribu kumwambia kama atajisikia vizuri nikimuita kwa hilo jina cuz yeye kataja iman yangu kabisa!! Kwa mtizamo wangu naona anastahili kuitwa Kafiri!
Tausi Mzalendo said: Rejao, Kafiri ni derogatory, Kakuita Muislam, kwani nalo ni jiba baya lisilopendwa? Click to expand... Kafanya vibaya kuona hawezi kufananishwa nami kutokana na imani yangu. Nimejaribu kumwambia kama atajisikia vizuri nikimuita kwa hilo jina cuz yeye kataja iman yangu kabisa!! Kwa mtizamo wangu naona anastahili kuitwa Kafiri!
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Dec 26, 2011 #42 ngoja niende machinjioni nikanunue kongoro za supu Rejao said: Aaah..pamoja na jitihada zangu zote nimeshindwa kukukip alive! Haya dia, pumzika salama! Mimi naendelea kukesha Click to expand...
ngoja niende machinjioni nikanunue kongoro za supu Rejao said: Aaah..pamoja na jitihada zangu zote nimeshindwa kukukip alive! Haya dia, pumzika salama! Mimi naendelea kukesha Click to expand...
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,925 Dec 26, 2011 #43 Rudi basi kwenye debate.
Muuza Sura JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,985 Reaction score 1,353 Dec 26, 2011 #44 Katavi said: Rudi basi kwenye debate. Click to expand... acha uchonganishi mkuu!watu walishaanza kusahau aibu aliyoipata wewe unataka kukumbushia...
Katavi said: Rudi basi kwenye debate. Click to expand... acha uchonganishi mkuu!watu walishaanza kusahau aibu aliyoipata wewe unataka kukumbushia...
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,970 Reaction score 13,427 Jan 11, 2012 #45 bila samahani. Nalog off