Wakuu naomba mwenye adress ya Magazeti yafuatayo kwenye NET ,Mwanahalisi,kiu,kulikoni na kama kuna magazeti mengine mimi nipo kijijini,nawatakia wk njema na majibu ya uhakika Asante.

Wakuu mi nadhani kunahaja ya kuanzisha thread maalumu ya umuhimu wa google na search engine zingine, tena iwekwe sticky
Tutapunguza kiasi kikubwa cha maswali kama haya au naomba spec za nokia xxx? nk
Ni kweli kabisa ALWAYZ MAKE GOOGLE YOUR BEST FRIEND, MOST OF YOUR QUESTION WILL BE ANSWERED THERE
Pole sana mkuu,ila kama una maujanja ya browsing,basi apa ndo umefika.
Just bofya apa down na utapata news worlwide. Thousands of newspapers on the Net