SAMAHANI Snowhite!

SAMAHANI Snowhite!

na kweli halafu ukija uje kabisa na 4 figure,kuna mbinu mpya hivi nimeisoma kwenye kitabu changu cha ukokotozi nahisi utaelewa zaidi!

Ewaaa nitakuja nayo, bikari je? Na kipima pembe? Nivae yuniform?
 
Ewaaa nitakuja nayo, bikari je? Na kipima pembe? Nivae yuniform?

mh!nafikir uje na rula manake kuna vipimo vya metrick nahisi havipo sawa itabidi tuviweke sawa,halafu nini tena?hebu nikumbushe!
 
Safii , huu ni uungwana

Katika uzi wenye jina 'Wanawake muwe na aibu' wa Jamii01,nilitamka maneno ambayo si ya kawaida kwa umri wangu. Ukaninukuu na kuniuliza swali la kuchoma sana moyo wangu.Ukasema:uuuuuuuwhi,ni wewe huyu au? Nilisema:'acha sifa za kijinga ndugu..fanya kazi.Ungekuwa mzuri si ungekuwa na k? Ebo!'

Kiufupi,nilighafilika sana.Huchukizwa na mwanaume/mvulana anayejisifu-sifu kama mwanamke. Snowhite na Wana-JF wote,samahanini sana. I will try to be more careful with my statements. Asante kwa kunielewa.
 
mh!nafikir uje na rula manake kuna vipimo vya metrick nahisi havipo sawa itabidi tuviweke sawa,halafu nini tena?hebu nikumbushe!

Yuniform je? Rula ninayo, penseli nankifutio chake na kichongeo.....si ndio? Daftari ntapata kwako mwalimu!
 
Yuniform je? Rula ninayo, penseli nankifutio chake na kichongeo.....si ndio? Daftari ntapata kwako mwalimu!
yuniform haina haja!mwalimu bora ni yule ajuae wanafunzi wake kwa majina!kwa hiyo mantakhofu!mwalimu wako akujua utosi mpaka unyayo!
nini daftari kwa mwalimu utapata mpka jaladio!
 
Madam snowhite naomba hiyo mada mliotaghafrakhana namna hiyo maana sielewi vile pliz nipe link tatizo kuchezea uwanja mmja na vijana du
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom