SAMAHANI Snowhite!

SAMAHANI Snowhite!

Basi nitaanza ku ignore akinitaja..
msije wanafunzi kufikiri na mimi nataka twishen bure lol
ah mambo gani sasa haya bana!
i owe yu one yu know!
aidha saluni au ibadani!
ahahahhahahhahhhhhhahahha,lol!
 
Hongera Mzee Tupa tupa kwa kukiri kosa, naomba tutimize mila yetu ile ya upatanishi

Mimi na FP tutapememnda maji na kuteta mahoka, ofkoz najua walikasirika si unajua Snowhite ni dada yetu. Kisha tutaenda mtoni, mto Likuyu, tutaomba watani angalau wawili, watu8 na Platozoom, utapaswa kununua kuku mmoja, wewe na snowhite mtaingia ndani ya mto, mtaangalia yanakotokea maji kisha utamkabidhi dada Snowhite huyo kuku, watani watapiga vigele gele, mimi nitaking'inda, FP atamwaga unga wa mhogo angani!

Tutakuwa na amani tena tele, huyo ibilisi aliyekupitia hata kusogelea tena!!
ewaaaaaah!
pa kwenye mila tu mi huwa nakuaminia kakaangu!
 
nikosiwi lepi!umjambusi na mwenyew wifi ,avi koki penyee hapa mi na dada FP na mdogo wetu Kipipi na Chimunguru pamoja na moto2012 tuna hamu ya likolo na nyungu kweli wengo! basi chilau ayatelekise wengo!

hii lugha yenu huwa yanivutia sana....yaani nyie watu Bombii hii hahahaa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom