Samahani: Njooni mnishauri kwa makini...

Hapana
Hapo accommodation zote kwa boss makazi
Usafiri
Na bima

Wewe ni chakula tu mkuu
We ulishaamua huna haja ya ushauri, ila kama ungekuwa ndugu yangu niaingekubali labda nchi nyingine zinazoeleweka lakini sio kwa hao jamaa.
 
Nimeishi nje ya nchi na Sasa naishi hapa Tanzania ushauri wangu BAKI HAPA! Kwa Nini
Nje ya nchi hakuna kukua kiuchumi utabaki ulipo kwa mda sana huku ki saikolojia ukiumia sana
Hapa unaweza kukua sana kibiashara kama utapata mke mpare au mrangi
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒMke mrangi au mpale we jamaa
 
Fanya biashara ukiendelea kupambana na ajira portal
 
Nimeishi nje ya nchi na Sasa naishi hapa Tanzania ushauri wangu BAKI HAPA! Kwa Nini
Nje ya nchi hakuna kukua kiuchumi utabaki ulipo kwa mda sana huku ki saikolojia ukiumia sana
Hapa unaweza kukua sana kibiashara kama utapata mke mpare au mrangi
Kwa hiyo unataka kusema Nyani Ngabu Kiranga na DIVISHENI FOO wamebaki palepale kiuchumi!

Acha utani mkuu.
 
Ushauri wangu;
Omba mkataba wa hiyo ajira au hata ujue wanalipaje
Muhimu: Ukienda Nje hakikisha mkataba una jumuisha BIMA YA AFYA na SEHEMU YA KUKAA/MAKAZI, mengine ni; Likizo ya mwaka, chakula wakati wa duty na nauli ya kukurudisha wakati wa Likizo.
Kama mkataba utajumuisha vyote hivyo na ukaanzia dola $2000 hivi nenda nje....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…