Samahani: Njooni mnishauri kwa makini...

Samahani: Njooni mnishauri kwa makini...

Mr Beach Boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
1,702
Reaction score
5,115
Wakuu by age nina 25
Mwaka huu ndio nahitimu shahada yangu ya kwanza kwenye masuala ya maendeleo ya jamii.

Nina Biashara ambayo inauhakika wa kunipa 500k kila mwezi ambayo naweza kuifanya mara baada ya KUMALIZA CHUO.

Hii ni mpango wa kwanza.

Mpango wa pili, nimepata connection ya KAZI ya ulinzi, usafi na ujenzi Katika nchi za UAE kama Qatar Dubai na Kuwait. Hii ni uhakika kwa sababu agent ni ndugu yangu wa damu so uwezekano wa kutapeliwa hakuna.

Sasa naombeni ushauri, niende kutafuta maisha nje, au nikomae na Biashara zangu hapa hapa Tanzania?.

Ushauri ambao mtanipa hapa ndio nitakao ishi nao naombeni msaada!!
 
Hilo swali unalotuuliza linajibiwa na wewe mwenyewe sema hujajua ila ukiweza kujua "Malengo yako" basi utakuwa ushapata jibu la swali lako!
Unanisaidiaje mkuu
Naomba muongozo niweze kufanya self evaluation mwenyewe
 
Unanisaidiaje mkuu
Naomba muongozo niweze kufanya self evaluation mwenyewe
Muongozo nishakupa jijibu hilo swali, chakuongezea hapo ni piga hesabu za kimazingira za humu ndani na huko nje patakapo shinda komaa napo!.
 
Hiyo biashara ina uwezekano wa Kukua? Kama inawezekana bora udeal nayo huku ukiendelea kusaka ajira kwa fani uliyosomea
 
Muongozo nishakupa jijibu hilo swali, chakuongezea hapo ni piga hesabu za kimazingira za humu ndani na huko nje patakapo shinda komaa napo!.
Nimepata jibu kimazingira nk Naona nje ni Sahihi
 
Back
Top Bottom