Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
Teja Junior karibu ndani ya jf na hasa hapa chit chat.
Asante Katavi nimefika Mkubwa JrTeja Junior karibu ndani ya jf na hasa hapa chit chat.
Asante JrHaya karibuu
Nitajitahidi mkubwa ila Asante JrKaribu sana mkuu Teja Junior lakini tafadhali kama unapenda kucha+macho+meno yako usizungumze na my Passion Lady!
Karibu sana
Soma hapa chini..... https://www.jamiiforums.com/rules.phpAsante Katavi nimefika Mkubwa Jr
Katavi we kweli balozi wa nyumba kumi umemfata mgeni wako hadi huku!
miss u honey!
bora umweleze mapema
kabisa maana huyu mgeni
anaonekana mjanja mjanja sana!!!!!
love uuuu!!!!
Ooh my Passion Lady i thought umetekwa yani hapa nilianza kuhisi Arushaone ana husika kwenye hili swala! Miss you sana!
Asante Boss Jrchaiiii..unapiga hodi wakati tayariushafika chumbanina usha kata funua... dah.... lakini karibu bhana
hahahahahha JrNilipata malalamiko kuwa kuna mgeni kachafua hali ya hewa chit chat, kuangalia katika list ya wageni kumbe hakuwepo aliingia kinyemela humu......
kaka B4 sijainga nimechunguza kama Miezi miwili najua sheria zote JrSoma hapa chini..... JamiiForums Disclaimer and Rules