Samahani,naomba ushauri wako hapa!!!

Unajua unapo amua kuolewa ni lazima uwe na historia ndefu na anae kuja kuku oa, nimeweka hii ili nipate ushauri na niweze kujua mambo mengi zaidi kuhusu love, but ushauri mlio nipa nitaufanyia kazi coz ilikuwa ndiyo dhumuni langu!
 
mtoto bado mbichi, unafaa kwa supu wewe...
 
Unajua unapo amua kuolewa ni lazima uwe na historia ndefu na anae kuja kuku oa, nimeweka hii ili nipate ushauri na niweze kujua mambo mengi zaidi kuhusu love, but ushauri mlio nipa nitaufanyia kazi coz ilikuwa ndiyo dhumuni langu!

Soma mwaego ili uji chagulie unaemtaka
 
Unajua unapo amua kuolewa ni lazima uwe na historia ndefu na anae kuja kuku oa, nimeweka hii ili nipate ushauri na niweze kujua mambo mengi zaidi kuhusu love, but ushauri mlio nipa nitaufanyia kazi coz ilikuwa ndiyo dhumuni langu!

sijui

mda na historia bila penz la kweli haina maana

LOVE is natural you dont learn ila sex hapa ndo nyumbani kwasababu umekaza ngoja wakufukunyue
 
Ni PM kwa mawasiliano
 
Karibia napata mke humu jf.
Cc: vanesa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…