Samahani,naomba ushauri wako hapa!!!

Mlivyo mashambulia huyu mtoto wa kizazi cha mkapa!! Si mchezo.

Mdogo wangu achana na mapenzi,aliye kwambia kuwa umri wako mkubwa na umefika kipindi cha kuwa na mpenzi kakudanganya.Hizo stori wanazo piga shoga zako ambao tayari wana wapenzi usizisikilize.
 
At twenty I was still a virgin. Studying hard at college, doing my Daddy proud. mh. haya.
 

Wakuu, haka katakuja kulia!!!! kanacheza na system nini? any way katarudi hapa kama siyo kwingine..!&
 
Komaa na shule kwanza mdogo angu, then jenga maisha yako kwanza. You are too young afu wanaume mbona wapo wengi tu, tena nyie waalimu mnakismati kweli ya kuolewa wenzetu. So usijali, muda ukifika utampata tu uliyepangiwa kuwa naye

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…