Goodluck Boaz
Member
- Feb 26, 2020
- 84
- 88
- Thread starter
- #21
UrubaniUnajua watu wamekaririshwa vibaya sana kwamba PGM ni urubani tuu ila ukweli hata EGM anao uwezo wakusoma urubani sema tatizo tanzania hela ndo shida.
Yaaah Egm anasoma pia Urubani . Tatizo mawe huku kwetu tena hata form Four anasomaUrubani
Rais au waziriIvii mtu akisomea PGM anakuja kuwa nan tofaut na ualim na urubani??
Ahsante!!
Sent using Jamii Forums mobile app